Pastor Elisha Nchama

Pastor Elisha Nchama Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Elisha Nchama, P. O. Box 249, Geita.

Mafundisho ya Neno la Mungu na maombi
๏ฟฝ Ushauri wa Ndoa & Familia
๏ฟฝ Mshauri wa Saikolojia & Afya ya Akili
๏ฟฝ Follow kwa mafundisho na ushauri kila wiki ili ujengwa kiroho na kisaikolojia.

๐Ÿง  Sio kila jeraha linaonekana kwa macho.Watu wengi wanapigana vita vya kimya nyuma ya tabasamu lao.Kuchoka kihisia hakum...
22/05/2026

๐Ÿง  Sio kila jeraha linaonekana kwa macho.
Watu wengi wanapigana vita vya kimya nyuma ya tabasamu lao.

Kuchoka kihisia hakumaanishi wewe ni dhaifu.
Inaweza kuwa ishara kwamba akili na moyo wako vinahitaji kupumzika, kuponywa na kusaidiwa.

๐Ÿ“– โ€œNjoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.โ€
โ€” Mathayo 11:28
๐ŸŒฟ Pumzika unapohitaji
๐ŸŒฟ Zungumza na mtu unayemwamini
๐ŸŒฟ Omba na uitunze akili yako
๐Ÿ“Œ Uponyaji huchukua muda, na hiyo ni sawa.

๐Ÿ”” Follow page hii kwa elimu ya afya ya akili, ndoa na familia inayojengwa juu ya Neno la Mungu.

SAIKOLOJIA INASEMA....โ€œKadri mtu anavyojificha kuwa sawaโ€ฆ ndivyo maumivu yake yanavyozidi kumchosha.โ€Watu wengi huonekan...
10/05/2026

SAIKOLOJIA INASEMA....

โ€œKadri mtu anavyojificha kuwa sawaโ€ฆ ndivyo maumivu yake yanavyozidi kumchosha.โ€

Watu wengi huonekana wenye nguvu kwa njeโ€ฆ

Lakini ndani, wanabeba uchovu na majeraha ya muda mrefu kimya kimya.

Ndiyo maana wengine hucheka mbele za watu, lakini wakibaki peke yaoโ€ฆ hupambana na mawazo mazito sana.
*Usipambane peke yako tafuta msaada.*

๐Ÿ”” Follow page hii kwa elimu ya afya ya akili, ndoa na familia unaojengwa juu ya Neno la Mungu.

06/05/2026

Your are the one who Gives your life meaning.

๐Ÿ’ A STRONG MARRIAGE AND A PEACEFUL FAMILY ARE BUILT DAILY๐Ÿ“– โ€œAnd above all these put on love, which binds everything toge...
22/04/2026

๐Ÿ’ A STRONG MARRIAGE AND A PEACEFUL FAMILY ARE BUILT DAILY
๐Ÿ“– โ€œAnd above all these put on love, which binds everything together in perfect harmony.โ€
โ€” Colossians 3:14
A strong marriage is not built by sweet words alone,
but by patience, communication, respect, and forgiveness.
A healthy family does not grow by chance,
it grows when its members choose to love each other even in difficult seasons.
๐Ÿ‘‰ Listen more
๐Ÿ‘‰ Pray together
๐Ÿ‘‰ Forgive quickly
๐Ÿ‘‰ Love daily
๐Ÿ“Œ A home filled with love becomes a place of healing for everyone inside it.
๐Ÿ”” Follow this page for guidance on marriage, family, and mental health based on the Word of God.

21/04/2026

Appreciate each day because it is God's Grace.

19/04/2026

No one know tomorrow be carefull how you treat people regadles how they are presently.

๐ŸŒฟ HAPPY SABBATH BE GRATEFUL FOR YOUR LIFE AND APPRECIATE YOUR STORYNot every chapter of your life was easy,but every cha...
17/04/2026

๐ŸŒฟ HAPPY SABBATH
BE GRATEFUL FOR YOUR LIFE AND APPRECIATE YOUR STORY

Not every chapter of your life was easy,
but every chapter taught you something.
Some seasons gave you joy.
Some seasons gave you pain.
But all of them gave you growth.
๐Ÿ“Œ Stop comparing your journey to others.
Your story is unique, and it still has beautiful pages ahead.
Be thankful for how far you have come,
and trust God for where you are going.
๐Ÿ“– โ€œGive thanks in all circumstances.โ€
โ€” 1 Thessalonians 5:18
๐Ÿ”” Follow this page for daily encouragement, mental wellness, marriage, and family wisdom.

16/04/2026

Not every chapter of your life was easy,
but every chapter taught you something.
Some seasons gave you joy.
Some seasons gave you pain.
But all of them gave you growth.

NINI CHA KUFANYA K**A UNA TATIZO LA USINGIZI(SLEEPING DISORDER)Jitahidi:๐ŸŒฟ Punguza mawazo kabla ya kulala๐ŸŒฟ Epuka simu mud...
14/04/2026

NINI CHA KUFANYA K**A UNA TATIZO LA USINGIZI(SLEEPING DISORDER)
Jitahidi:
๐ŸŒฟ Punguza mawazo kabla ya kulala
๐ŸŒฟ Epuka simu muda mfupi kabla ya kulala
๐ŸŒฟ Weka ratiba ya kulala na kuamka
๐ŸŒฟ Omba na mtegemee Mungu

๐Ÿ“– โ€œNitakaa chini, nitalala usingizi; maana Wewe, BWANA, peke yako, wanisitiri salama.โ€ Zaburi 4:8

๐Ÿ“Œ Usingizi mzuri ni sehemu ya afya njema ya akili.
๐Ÿ”” Follow page hii kwa elimu ya afya ya akili, ndoa na familia unaojengwa juu ya Neno la Mungu.

๐ŸŒ™ USIPUUZE USINGIZI Kulala si Anasa  ni hitaji la msingi la afya ya akili.K**a:๐Ÿ‘‰ Unapata shida kulala usiku๐Ÿ‘‰ Unaamka mar...
13/04/2026

๐ŸŒ™ USIPUUZE USINGIZI
Kulala si Anasa ni hitaji la msingi la afya ya akili.
K**a:
๐Ÿ‘‰ Unapata shida kulala usiku
๐Ÿ‘‰ Unaamka mara kwa mara
๐Ÿ‘‰ Unaamka umechoka kana kwamba hujalala
Hizi ni dalili za sleeping disorder.
โš ๏ธ Upokua na usingizi mzuri unaweza kusababisha:
* Msongo wa mawazo kuongezeka
* Hasira na uchovu
* Kushuka kwa umakini na nguvu ya kufanya kazi

๐Ÿ”” Follow page hii kwa elimu ya afya ya akili, ndoa na familia unaojengwa juu ya Neno la Mungu.

28/03/2026

Stand for your dream, even when no one else believes in it.

Address

P. O. Box 249
Geita

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Elisha Nchama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share