Paul Mwita OnlineTz

Paul Mwita OnlineTz Nanyi mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru.YOHANA 8:32

16/09/2024
Ni SIKU nyingine MPYA na ya kupendeza, Mungu wa Bwana wangu Yesu Kristo abariki kazi za mikono yako K**a jinsi Roho yako...
10/09/2024

Ni SIKU nyingine MPYA na ya kupendeza, Mungu wa Bwana wangu Yesu Kristo abariki kazi za mikono yako K**a jinsi Roho yako ifanikiwavyo.

AminaπŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½βœπŸ½βœοΈβœοΈ

TSF: KUWA KIONGOZI BORA, haihitaji elimu KUBWA, haitaji cheo kikubwa, haihitaji Hali ya kimaisha na uchumi imara. Uongoz...
02/08/2024

TSF: KUWA KIONGOZI BORA, haihitaji elimu KUBWA, haitaji cheo kikubwa, haihitaji Hali ya kimaisha na uchumi imara.

Uongozi ni sura halisi na tabia ya Mungu, uongozi ni kumjua Mungu Kuliko watu, uongozi ni kuwa mtumwa wa watu, KIONGOZI anazaliwa, KIONGOZI anatengenezwa na mbingu zenyewe.

Aliyezaliwa kuwa KIONGOZI hawezi kuhangaika kuongoza watu, KIONGOZI hatumii mbinu kuwashawishi watu ili wampende na kufanya anayotaka, KIONGOZI hajipendekezi kwa watu anaowaongoza au viongozi wenzake.

KIONGOZI hatangulizi masrahi yake Bali ya watu wake, KIONGOZI hajari furaha yake Bali ya watu wake.

KIONGOZI ana penda, hajipendezi Wala kujipendelea na kujipendekeza.

Ukishindwa kuwa KIONGOZI na ukawa na cheo ni lazima utakuwa Mtawala.

Leo hii nchi na KANISA limejaa WATAWALA waliojificha kwenye mwamvuli wa heshima za vyeo walivyonavyo na kuaminiwa kwenye TAASISI zao.

Mungu liponye KANISA na nchi yetu!

Uwezo wako wa kubeba maumivu unategemea ukubwa wa kiwango cha Furaha uliyonayo!Be happy, Be smart,  then live your life ...
28/07/2024

Uwezo wako wa kubeba maumivu unategemea ukubwa wa kiwango cha Furaha uliyonayo!

Be happy, Be smart, then live your life with Jesus.

Last Night! Mungu katika utukifu wake mwenyewe!
22/07/2024

Last Night! Mungu katika utukifu wake mwenyewe!

Address

Pmwita8@gmail. Com
Geita

Telephone

+255745308200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paul Mwita OnlineTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Paul Mwita OnlineTz:

Share