Binti Hodari Ndani Ya Yesu

Binti Hodari Ndani Ya Yesu Jukwaa la kuwajenga mabinti kuanzia miaka 15+
Kujitambua,kujithamini na kusimama ndani ya Yesu �

07/05/2026

Hellow Bwana Yesu asifiwe mzima wewe??
Wewe Binti nini kinakuzuia kusonga mbelee??

07/05/2026

Good Morning watu wa MunguWazima nyie??
06/05/2026

Good Morning watu wa Mungu
Wazima nyie??

02/05/2026

POST 2: Binti hodari ndani ya Yesu inamaanisha nini?  Binti hodari ndani ya Yesu ni nani?Huyu ni binti ambaye nguvu zake...
02/05/2026

POST 2:
Binti hodari ndani ya Yesu inamaanisha nini?
Binti hodari ndani ya Yesu ni nani?
Huyu ni binti ambaye nguvu zake hazitokani na dunia… bali zinatoka kwa Yesu.
Ni binti ambaye: ✨ Anamtegemea Mungu katika kila jambo
✨ Anajua yeye ni nani kupitia Mungu
✨ Anaishi kwa kusudi, si kwa mazoea
Binti hodari ndani ya Yesu:
✨Haongozwi na presha ya dunia
✨Hatafuti uthibitisho kwa watu, bali kwa Mungu
✨Ana amani hata katikati ya dhoruba
📖 “Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.” (Wafilipi 4:13)

Bwana Yesu asifiwe 💥💥💫🌟Natumai u mzima, Tuendelee na somo letu           *BINTI HODARI NDANI YA YESU*👉Binti hodari ndani...
02/05/2026

Bwana Yesu asifiwe 💥💥💫🌟
Natumai u mzima, Tuendelee na somo letu
*BINTI HODARI NDANI YA YESU*
👉Binti hodari ndani ya Yesu…
💎Hapigani peke yake.
💎Nguvu yake haitoki kwake…
💎Inatoka kwa Mungu.
💎Ndiyo maana haogopi kesho.”

💪Ukiwa ndani ya Yesu, una nguvu kuliko unavyofikiria 🙏✨

01/05/2026


Hello hello friends👋Bwana Yesu asifiwe natumaini mu wazima✨Leo ni siku yetu njema twende tujifunze pamoja               ...
01/05/2026

Hello hello friends👋
Bwana Yesu asifiwe natumaini mu wazima
✨Leo ni siku yetu njema twende tujifunze pamoja

*BINTI HODARI NI NANI?*(A)

“Binti hodari si yule asiye na matatizo…
✓Ni yule anayepitia mengi, lakini bado anasimama.
✓Analia… lakini haachi kuamini.
✓Anaanguka… lakini anainuka tena.
❤️Ni yule anayejitambua thamani yake, anaheshimu mwili, roho na moyo wake
💞Ni yule anayechagua kufanya yaliyo sahihi hata k**a si rahisi
∆Huyo ndiye binti hodari.”

Binti hodari haishi maisha mepesi… anaishi maisha ya ushindi 💪✨


Karibuni

Address

Dodoma
41218HTTPS://FACEBOOK.COM/BINTIHODARINDANIYAYESU

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Binti Hodari Ndani Ya Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share