Rev Fr. Gershon Nghombola Maloda

Rev Fr. Gershon Nghombola Maloda Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rev Fr. Gershon Nghombola Maloda, Anglican Church, Kikuyu, Dodoma.

30/04/2026
14/02/2026

Zaburi 1:1-3
[1]Heri mtu yule asiyekwenda
Katika shauri la wasio haki;
Wala hakusimama katika njia ya wakosaji;
Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
[2]Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo,
Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
[3]Naye atakuwa k**a mti uliopandwa
Kandokando ya vijito vya maji,
Uzaao matunda yake kwa majira yake,
Wala jani lake halinyauki;
Na kila alitendalo litafanikiwa.

11/02/2026

Shalom mtu wa Mungu.
Tunayo thamani kubwa mbele za Mungu, na ametupendelea;

Waebrania 2:5-10
[5]Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema,
[6]Mwanadamu ni nini hata umkumbuke,
Ama mwana wa binadamu, hata umwangalie?
[7]Umemfanya mdogo punde kuliko malaika,
Umemvika taji ya utukufu na heshima,
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;
[8]Umeweka vitu vyote chini ya nyayo zake.
Kwa maana katika kuweka vitu vyote chini yake hakusaza kitu kisichowekwa chini yake. Lakini sasa bado hamjaona vitu vyote kutiwa chini yake,
[9]ila twamwona yeye aliyefanywa mdogo punde kuliko malaika, yaani, Yesu, kwa sababu ya maumivu ya mauti, amevikwa taji ya utukufu na heshima, ili kwa neema ya Mungu aionje mauti kwa ajili ya kila mtu.
[10]Kwa kuwa ilimpasa yeye, ambaye kwa ajili yake na kwa njia yake vitu vyote vimekuwapo, akileta wana wengi waufikilie utukufu, kumkamilisha kiongozi mkuu wa wokovu wao kwa njia ya mateso.

Address

Kikuyu
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rev Fr. Gershon Nghombola Maloda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share