Shiloh Ministries Of Tanzania

Shiloh Ministries Of Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shiloh Ministries Of Tanzania, Religious organisation, P. o. box 2243, Dodoma.

Holy Spirit  thank youFor vindicating me.Roho Mtakatifu asante kwa kunithibitisha.
10/02/2023

Holy Spirit thank you
For vindicating me.
Roho Mtakatifu asante kwa kunithibitisha.

21/04/2022

Kusudi kubwa la Page hii ni
(1) Kuwakamilisha watakatifu,
(2) Kazi ya Huduma itendeke
(3)Tatu Mwili wa Kristo ujengwe, (4) Kuufikia umoja wa Imani

17/10/2018

Juu ndiyo uzee mwema. Yaani ingekuwa wimbo wa sifa ingekuwa bora zaidi.

04/06/2018

" Niite Nami nitakuitikia. Nitakuonyesha mambo magumu usiyo yajua" Yeremia 33:3 Yaani
Sijapata kuona! Mungu anayajua mambo yako magumu, halafu anakualika umuite akuonyeshe. Halafu wewe Hutaki. Nakuambia hutayajua na utaendelea kuteseka¡

20/03/2018

Let God make you whole in Jesus Name.
1thes 5:23,24

10/03/2018

Ewe mifupa mikavu isikie sauti ya Mungu na upokee pumzi yake na kuishi

Asante Roho Mtakatifu kwa kazi mpya. Ninakutukuza Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu.
11/01/2018

Asante Roho Mtakatifu kwa kazi mpya. Ninakutukuza Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu.

Ninaomba eee Mungu wangu ninaye kuamini, jibu maombi ya wote wenye kutaka NDOA katika Jina la Yesu
19/11/2017

Ninaomba eee Mungu wangu ninaye kuamini, jibu maombi ya wote wenye kutaka NDOA katika Jina la Yesu

Address

P. O. Box 2243
Dodoma

Telephone

0713777706

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shiloh Ministries Of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share