28/07/2026
MKUTANO MKUTANO MKUTANO🔥🔥
kanisa letu la TAG linakuletea mkutano wa injili utakao fanyika katika viwanja vya kanisa la tag revival tample lililopo BUIGILI NJIA PANDA YA KIKOMBO mkutano huu utakua wa siku tatu utakao anza tar 31 july hadi tar 02 agost
MUDA: kuanzia saa 9:00 alasiri
TWENDENI TUKAMFANYIE BWANA MAVUNO
WATU WOTE MNAKARIBISHWA