18/02/2026
Karibu DCFC – Dodoma Christian Fellowship Church 🤍🔥
Je, umechoka kuishi maisha bila furaha na amani? Usikate tamaa! DCFC ni mahali pa maombi, neno la Mungu, na ukombozi wa kweli. Hapa tunamuinua Yesu na tunaamini Mungu bado anafanya miujiza leo.
Njoo ujumuike nasi, upokee maombi, upate faraja, na uanze safari mpya ya ushindi. Maisha yako hayawezi kubaki vilevile baada ya kukutana na Mungu!
Karibu sana DCFC – mahali pa tumaini, furaha na uwepo wa Mungu.