AICT PAHI Mission CHOIR

AICT PAHI Mission CHOIR Msingi wa Kwaya: "Kwaya yetu inasambaza Neno la Mungu kwa upendo na umoja kupitia muziki. Karibu sana PMC!

Jiunge nasi katika safari ya kiroho!"

Malengo ya Kwaya: "Tunaeneza ujumbe wa Neno la Mungu kwa Amani na Furaha kupitia nyimbo zetu.

AICT PAHI Mission CHOIR
10/11/2024

AICT PAHI Mission CHOIR

"Mioyo yetu imejaa furaha kwa ajili ya neema ya Mungu! 💖    "AICT PAHI Mission CHOIR
10/11/2024

"Mioyo yetu imejaa furaha kwa ajili ya neema ya Mungu! 💖
"
AICT PAHI Mission CHOIR

"Furaha ni kupata nafasi ya kumtumikia Mungu. Asante kwa kila hatua ya baraka! 🌟    "AICT PAHI Mission CHOIR
10/11/2024

"Furaha ni kupata nafasi ya kumtumikia Mungu. Asante kwa kila hatua ya baraka! 🌟 "
AICT PAHI Mission CHOIR

Aict Pahi Mission Choir
10/11/2024

Aict Pahi Mission Choir

"Tumeona mkono wa Mungu ukiwepo katika huduma yetu.
10/11/2024

"Tumeona mkono wa Mungu ukiwepo katika huduma yetu.

"Mungu anatuongoza katika kila hatua!
10/11/2024

"Mungu anatuongoza katika kila hatua!

"Leo tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikifanya kazi! Asante Baba kwa kutuongoza. 🙌🏼     UPDATES
10/11/2024

"Leo tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikifanya kazi! Asante Baba kwa kutuongoza. 🙌🏼

UPDATES

"Sifa na shukrani zote ziende kwa Mungu aliye hai! 🙌🏼 Leo tumeona mkono wa Mungu ukiwa juu yetu katika kazi ya uinjilist...
10/11/2024

"Sifa na shukrani zote ziende kwa Mungu aliye hai! 🙌🏼 Leo tumeona mkono wa Mungu ukiwa juu yetu katika kazi ya uinjilisti katika Kanisa la KKKT PAHI -KONDOA. Tumeweza kushirikisha NENO lake na kumtangaza Kristo k**a Bwana na Mwokozi. Ni kwa neema yake pekee tumefanikiwa kufikia hatua hii. . . Tunajivunia kuwa sehemu ya huduma hii.


AICT PAHI Mission CHOIR

Ndugu zetu, ni furaha kubwa kuwa pamoja katika safari hii ya kiroho! Tunawatakia nyote heri na amani. Katika nyimbo zetu...
02/11/2024

Ndugu zetu, ni furaha kubwa kuwa pamoja katika safari hii ya kiroho! Tunawatakia nyote heri na amani. Katika nyimbo zetu za kumwimbia Mungu kwenye mitandao ya kijamii( FACEBOOK,YOTUBE), na tunashiriki ujumbe wa matumaini, furaha, na imani kupitia nyimbo zetu https://youtu.be/4b2lLUw53OM. Tafadhali tembelea channel yetu,SUBSCRIBE,LIKE ,SHARE na COMMENT ili uendelee kupata maudhui mapya.

Kwa pamoja, tunaweza kuijenga jamii yenye nguvu ya za Mungu kupitia huduma hii!
Mungu awabariki!
AICT PAHI Mission CHOIR

Address

KONDOA/DODOMA
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AICT PAHI Mission CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share