Ufahamu juu ya Mungu

Ufahamu juu ya Mungu Mimi Mtumishi wa Mungu Ezeki Antoni Yesaya ninakukarisha kujifunza neno la Mungu katika page yangu.. maswali na majibu pia.. naye Mungu atakubariki sanasana

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“Shalom.Karibu sanasana kwenye SEMINA YETU NZURI NA KUBWA ITAKAYOFANYIKIA MTANDAONI.SEMINA ITAKAYOKUSAIDIA KUV...
25/09/2024

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“

Shalom.
Karibu sanasana kwenye SEMINA YETU NZURI NA KUBWA ITAKAYOFANYIKIA MTANDAONI.

SEMINA ITAKAYOKUSAIDIA KUVUNJA MINYORORO YA UTUMWA WA DHAMBI NA KILA NAMNA YA UHARIBIFU WA SHETANI KWAKO.

KWA KUGUSA LIKI HAPO CHINI UNAINGIA KWENYE GROUP LA SEMINA KARIBU SANA.

https://chat.whatsapp.com/EknoIxNnB78JuKsM8CZU0p

MKARIBISHE NA JIRANI YAKO.

Bwana akiwa upande wetu nani basi aliye juu yetu.. Tazama hakuna kabisaaaa
21/08/2024

Bwana akiwa upande wetu nani basi aliye juu yetu.. Tazama hakuna kabisaaaa

15/08/2024

God is in control

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Shalom. Nakusalimia kwa Jina la Yesu Kristo.Napenda kukukaribisha kwenye semina kubwa ya neno la Mungu....
15/08/2024

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Shalom.

Nakusalimia kwa Jina la Yesu Kristo.

Napenda kukukaribisha kwenye semina kubwa ya neno la Mungu. Ambayo itafanyika kwa njia ya Mtandao.

Nisemina ambayo inakupa kuujua ufalme wa Mungu jinsi ulivyo, lakini pia namna ya kutembea ndani ya huo ufalme. Zaidi sanasana namna ya kuongezeka nguvu za Roho Mtakatifu ndani yako..

Oooh Hii si ya kukosa karibu sanasana mahali hapo, Roho Mtakatifu yupo tayari kukufundisha hakika.. Nami nipo tayari kujifunza.

KWA kugusa link hii utakuwa umeenda kwenye. group letu la kujifunzia karibu sanasana.

https://chat.whatsapp.com/EknoIxNnB78JuKsM8CZU0p

karibu sanasana na mkaribishe na mwenzako kwa kumtumia link hiyo ya Group la semina. INAANZA LEO HIIπŸ™πŸ™

13/08/2024

YESU YEYE NI SABABU YA KUISHI KWANGU. AKIONDOKA KWANGU BASI SINASABABU YA KUISHI TENA!

08/08/2024

UNADHANI KWANINI WEWE UNAISHI?
Wengi wamesahau sababu ya wao kuishi, lakini pia kwanini usahau.. Itakuwa nikujidharau sanasana k**a utasahau!

Address

Dodoma

Telephone

+255688085656

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ufahamu juu ya Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ufahamu juu ya Mungu:

Share