Ev. Melkizedeck Phares

Ev. Melkizedeck Phares Evangelism for All Nations .[EfaN.]

23/01/2024

NINATAFUTA MPIGA PICHA & VIDEOGRAPHER KWA AJILI YA HUDUMA!

0755784498 - DOM
Apostle 🦁

KUPEWA JINA JIPYA!
28/11/2023

KUPEWA JINA JIPYA!

https://chat.whatsapp.com/EF7JTg7x5waCSkfRLz61WRMAOMBI YA KITAIFA YA KUOMBEA WANAFUNZI WANAOFANYA MITIHANI YA KIDATO CHA...
07/11/2023

https://chat.whatsapp.com/EF7JTg7x5waCSkfRLz61WR

MAOMBI YA KITAIFA YA KUOMBEA WANAFUNZI WANAOFANYA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE!.

BWANA YESU ASIFIWE,
UNGANA NASI KATIKA KUNDI HILI LA MAOMBI YATAKAYOANZA SIKU YA JUMATANO MPAKA JUMAMOSI ILI TUOMBE KWA PAMOJA KWA AJILI YAO NA KUWATOLEA SADAKA.

WATOTO WETU INAWEZEKANA KIMWILI WAMEJIANDAA LAKINI ROHONI KUKAINUKA VIKWAZO NA VIKAWAZUIA.

WENGINE WANAAKILI ILA WAMEWEKEWA MIPAKA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO, WENGINE WANA VITA, WENGINE WANAANZAGA KUUMWA WAKATI WA MITIHANI, WENGINE MACHO HAYAONI, NK..

WEWE K**A MZAZI, NDUGU WA MTAHINIWA AU MWALIMU NA MDAU WA MAOMBI, NINAKUITA HAPA TUOMBE PAMOJA!

TUTAOMBA KWA AJILI YA WATOTO WETU NA WATOTO AMBAO HAWANA WATU WAKUWAOMBEA!

MAOMBI YATAANZA SIKU YA JUMATANO TAREHE 8 MPAKA TAREHE 11 SIKU YA JUMAMOSI.

YATAKUWA NI MAOMBI YA KUFUNGA KWA MASAA 12.

KISHA JUMATATU 13 NOVEMBA TUTAANZA MAOMBI YA MNYORORO YASIYO YA KUFUNGA TUKIWAOMBEA WATOTO NA RATIBA YA MITIHANI MPAKA ITAKAPOISHA.

MWAKA JANA WATOTO WOTE TULIOWAOMBEA WALIFAULU KWA KISHINDO!

KARIBU TUWALETE KWA YESU NA MITIHANI YAO.

APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU
0755784498 - DODOMA.

WhatsApp Group Invite

ZINAWEZA KUWEPO SABABU NYINGI ZA KUKUFANYA UWE NA HUZUNI, UKATE TAMAA, UJISIKIE KUWA CHINI NK,LAKINI KATIKATI YA SABABU ...
17/10/2023

ZINAWEZA KUWEPO SABABU NYINGI ZA KUKUFANYA UWE NA HUZUNI, UKATE TAMAA, UJISIKIE KUWA CHINI NK,

LAKINI KATIKATI YA SABABU BILIONI ZA KUKUHUZUNISHA, KUKUKATISHA TAMAA NA KUKUFADHAISHA BADO INABAKI SABABU MOJA YA WEWE KUFURAHI, KUWA NA AMANI, KUWA NA IMANI NA TUMAINI, "KRISTO NDANI YANGU, TUMAINI LA UTUKUFU"

SIX DAY TO GO!!OPERESHENI REJESHA HAKI YANGU...WATU WA DODOMA NA MIKOA YOTE MNAKARIBISHWA SANA KWENYE KONGAMANO HILI LA ...
02/09/2023

SIX DAY TO GO!!
OPERESHENI REJESHA HAKI YANGU...

WATU WA DODOMA NA MIKOA YOTE MNAKARIBISHWA SANA KWENYE KONGAMANO HILI LA MAOMBI LA KITAIFA!!

DODOMA DODOMA DODOMA OP REJESHA HAKI YANGU!
01/09/2023

DODOMA DODOMA DODOMA

OP REJESHA HAKI YANGU!

02/08/2023

EE BWANA FANYA NJIA KWA AJILI YANGU!

Gusa Link Hii Njoo tuombe Mchana huu!!

UKIPATA NAFASI YA KUINGIA, ANZA KUOMBA MAOMBI YA SHUKURANI!

https://meet.google.com/yiv-grao-wfq

Or open Meet and enter this code: yiv-grao-wfq

Real-time meetings by Google. Using your browser, share your video, desktop, and presentations with teammates and customers.

WE ARE DUNAMIS/ POWER EMBASSY INT'L
15/07/2023

WE ARE DUNAMIS/ POWER EMBASSY INT'L

DODOMA EE
23/02/2023

DODOMA EE

Nyumbani!
03/03/2022

Nyumbani!

27/12/2018

Musa alimwambia farao kwamba,"tutatoka misri na familia zetu, wanyama wetu na kila kitu chetu" Nakuombea Mungu akupe Neema ya kuvuka mwaka 2018 nakuingia mwaka 2019 wewe pamoja Rafiki,ndugu, wazazi na kila kitu chako. Amen
Happy new year

*Great musician*

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev. Melkizedeck Phares posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ev. Melkizedeck Phares:

Share