20/12/2019
Yesu kristo asifiwe sana ..
Somo
Utoaji - Matoleo
Utoaji ni kutoa au kuhamasisha umiliki
Matoleo- ni sadaka mali au fedha ambayo hutolewa kuwapa wastahiki kwaajili ya kupata dhawabu kwa Mungu ..
Ukitaka kufanikiwa lazima uzingatie kipengele hiki cha kutoa .
Tunawaona baba zetu wa imani walifanikiwa sabu walizingatia utoaji
Mwangalie nuhu baada ya kutoka kwenye safina akamtolea Bwana sadaka ili azidishiwe mwanz 8:20 ..
Yupo Ibrahim aliuona uweza wa Mungu kwa kutoa soma mwanz anza13
¶¶¶¶
Wengi wamejua kufanikiwa kupo ila et had uende kwa waganga ,,, nakuambia unapotea wewe na roho yako ingekuwa kunauponyaji huko bas Ayubu angeenda ila alimwamini Mungu akawa hai na kuiponya nafsi yeke.
Hata yule mwanamke alietokwa na damu miaka mingi angekuwa alisha pona lakini had alivyokumbuka alipokosea akaponywa na Yesu huyu unaye mskia nakwambia ndugu mwamini leo ili uuone mkono wake Maana yeye ni Nuru yako alikuja kwaajili yako ili akuokoe na kukubariki... Amen