Pastor Chironge J Magai.

Pastor Chironge J Magai. MUNGU KWANZA. Tumika uheshimiwe na Bwana.

Usiogope!!!!
12/05/2026

Usiogope!!!!

Aminaa!! Aminaa
12/05/2026

Aminaa!! Aminaa

Endelea Kuamini.
12/05/2026

Endelea Kuamini.

Mtumaini Mungu Wakati Wote.
12/05/2026

Mtumaini Mungu Wakati Wote.

Uwe Mtoto wa Mungu
12/05/2026

Uwe Mtoto wa Mungu

Samsoni:*Samsoni akamwita Bwana, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, E...
10/05/2026

Samsoni:

*Samsoni akamwita Bwana, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili. Waamuzi 16:28.*

Mwivi Msalabani.

*Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. Luka 23:42.*

Petro

*Petro akalikumbuka lile neno la Yesu alilolisema, Kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu. Akatoka nje, akalia kwa majonzi. Mathayo 26:75.*

Eliya

*Ikawa, wakati wa kutoa dhabihu ya jioni, Eliya nabii akakaribia, akasema, Ee Bwana, Mungu wa Ibrahimu, na wa Isaka, na wa Israeli, na ijulikane leo ya kuwa wewe ndiwe Mungu katika Israeli, na ya kuwa mimi ni mtumishi wako, na ya kuwa nimefanya mambo haya yote kwa neno lako. Unisikie, Ee Bwana, unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, Bwana, ndiwe Mungu, na ya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie. 1 Wafalme 18:36-37.*

Vijana Watatu

*K**a ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme. Danieli 3:17.*

*Mungu Anajibu Maombi ya Dhati, Usiache Kuomba.*
🙏🙏🙏🙏

Sabato Njema Wote Mungu Atubariki Sote.
08/05/2026

Sabato Njema Wote Mungu Atubariki Sote.

Mungu Atusaidie sana
07/05/2026

Mungu Atusaidie sana

utakuwa salama na Akili Njema.Jimwagilie na Mambo haya nawe
07/05/2026

utakuwa salama na Akili Njema.Jimwagilie na Mambo haya nawe

Tubaki katika Mapenzi ya Mungu Pekee.
07/05/2026

Tubaki katika Mapenzi ya Mungu Pekee.

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255762895486

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Chironge J Magai. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Chironge J Magai.:

Share