14/07/2025
VIWAWA DODOMA MEDIA
Ni chombo cha habari ambacho kinasimamiwa na *VIWAWA* wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma chini ya Uongozi wa K**ati Tendaji ya *VIWAWA* Jimbo Kuu la Dodoma.
VIWAWA Dodoma media ilizinduliwa rasmi na Baba Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma *Mha. Wilbroad Henry Kibozi* katika sherehe ya matawi ya Vijana mnamo Tarehe 13 Aprili 2025.
*VIWAWA DODOMA MEDIA* ina dhumuni kubwa la kuhabarisha watu wote ulimweguni juu ya *Kanisa, Siasa, Uchumi na Jamii* kwa ujumla.
*VIWAWA DODOMA MEDIA* inapatikana katika mtandao wa kijamii wa instagram kwa jina la *viwawamedia* na chaneli ya youtube kwa jina la *VIWAWA MEDIA DODOMA*
*Wadau wa kwanza wa media hii ni VIWAWA, hivyo basi wewe k**a kijana: unahimizwa ku-follow akaunti hizo ili media hii iweze kukua na kuwafikia watu wengi zaidi*
*Follow CAMPAING*
instagram
Youtube channel
VIWAWA DODOMA MEDIA