Venas Sadi

Venas Sadi Namwamini Mungu Baba Mwenyezi, Muumba mbingu na nchi:
Na Yesu Kristo Mwana wake wa pekee��� I love Jesus Christ

Kwenye maisha kuna watu ambao wako karibu yako ukiwaona ni k**a marafiki sana ila ukweli ni kwamba kiu yao wakati wote n...
10/07/2024

Kwenye maisha kuna watu ambao wako karibu yako ukiwaona ni k**a marafiki sana ila ukweli ni kwamba kiu yao wakati wote nikusikia mabaya yametokea,🤦🏿 wanatamani muda wote kusikia habari ya kuumiza mfano ukiwasimulia habari njema k**a vile; umefunga ndoa, ume nunuanyuma au una mchumba utadhani umewachoma msumari wa Moyoni.😀😀😀 kuwa makini na unayecheka naye📚🤦🏿🤦🏿

Antwani AntonyoThëdêwæ Clâssïc FzSabina Kabwe Bora Timba Mt Samwel Charlotte Mialano, Happiness Neema Ezekiel,Tantine Aline

Hi there! I just wanted to share this wonderful day with you. Today has been absolutely amazing, and I'm just overflowin...
24/06/2024

Hi there! I just wanted to share this wonderful day with you. Today has been absolutely amazing, and I'm just overflowing with happiness. I'm feeling incredibly grateful for the gift of life, and I truly understand how you must be feeling. It's just incredible how life has this way of bringing people back together, even after so many years. It's a beautiful reminder that good things can happen, even after tough times.

Ama kweli Adui wa mtu ni yule unayecheka naye unaye muona kuwa ni Mtu wa thamani, Unaye mshirikisha katika kila kitu, si...
10/06/2024

Ama kweli Adui wa mtu ni yule unayecheka naye unaye muona kuwa ni Mtu wa thamani, Unaye mshirikisha katika kila kitu, siku moja huyo ndo atakaye kuhumiza. Watu wasio kupenda wako tayari kutumia Muda wao na watu Wengine ili waweze kukushusha chini. Mara nyingi watu wa aina hiyo huwa natabia yaku nyoosha vidole kutazama maisha ya watu wengine kisha wanaweka vizingiti ili wasiweze kuoneka kuwa niwao wanao fanya hivyo.🫵👣

BY: Sadi_Briton

21/07/2023

Ama kweli mahandiko matakatifu hayakukosea yalipo sema; Macho ya Bwana Yako kila mahali; yakimchunguza mbaya na mwema
Methali 15:3☝️

NB “Kumbuka kila unalotenda linaonwa na Mungu na utalitolea hesabu yake siku ya hukumu”

Hiweni horari ndungu zangu mahana akuna Askari anaye henda vitani bila silaha 🛐

19/05/2023

Celebrating my 1st year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Nawatakia Pasaka njema wana U.M.C.A Mungu awabariki nakuwa Linda 🙏🙏❤️
11/04/2023

Nawatakia Pasaka njema wana U.M.C.A Mungu awabariki nakuwa Linda 🙏🙏❤️

Luka 22:19 Tunawakaribisha Ndugu jamaha na Marafiki kwenye mkutano wa Pasaka utakao fanyika Tarehe 8 mwezi wa 4, 2023  S...
04/04/2023

Luka 22:19

Tunawakaribisha Ndugu jamaha na Marafiki kwenye mkutano wa Pasaka utakao fanyika Tarehe 8 mwezi wa 4, 2023 State ya Wisconsin adress hiko hapo chini 👇

Karibuni ili tupate kujifunza neno la Mungu kwa pamoja na Mubarikiwe nanyinyote 🙏🙏🙏

28/03/2023
23/03/2023

😂😂😂😂😂 kubwa kuliko hiii 👇👇

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Venas Sadi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Venas Sadi:

Share

Category