Gilgal City Church - Kwa Nabii King Joshua

Gilgal City Church - Kwa Nabii King Joshua Gilgal City Church ni Kanisa la kinabii linalongozwa na Nabii wa Bwana Prophet King Joshua. Tupo Mkoa wa Dodoma, Kata ya Mnadani, Mtaa wa Mbwanga - Nguzombili.

Karibu sana kwa Huduma za Unabii, maombi na kufunguliwa. Mawasiliano: 0745087792.

Hii siyo ya Kukosa Ewe mkazi wa Dodoma na mikoa yote!
30/12/2021

Hii siyo ya Kukosa Ewe mkazi wa Dodoma na mikoa yote!

Man of God Prophet King Joshua during Sunday's ministration of washing people's feet. Extremly Power of Jesus was moving...
27/12/2021

Man of God Prophet King Joshua during Sunday's ministration of washing people's feet. Extremly Power of Jesus was moving!
'Mtu wa Mungu Nabii King Joshua Katika ibada ya kuoshwa miguu. Nguvu kuu ya Yesu ilitembea!

Nabii King Joshua akiwa katika kituo cha maombi na maombezi Michese -Dodoma kuhudumia mamia ya watu walioudhuria na kupo...
16/11/2021

Nabii King Joshua akiwa katika kituo cha maombi na maombezi Michese -Dodoma kuhudumia mamia ya watu walioudhuria na kupokea Ushindi wao siku ya jumapili 9/11/2021.
Type, Mimi ni Mshindi!

Karibu Gilgal City Church Kwa Nabii King Joshua kituo cha Mbwanga Nguzo Mbili maeneo ya Mnadani Dodoma
29/10/2021

Karibu Gilgal City Church Kwa Nabii King Joshua kituo cha Mbwanga Nguzo Mbili maeneo ya Mnadani Dodoma

Nabii King Joshua akiwa Michese - kata ya Mkonze, mkoani Dodoma katika kongamano kubwa la ukombozi na kufunguliwa ikiwa ...
22/10/2021

Nabii King Joshua akiwa Michese - kata ya Mkonze, mkoani Dodoma katika kongamano kubwa la ukombozi na kufunguliwa ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano. Moto umewaka na watu wameponywa isivyo kawaida

17/10/2021

Shalom watu wa Mungu

Address

Mnadani, Mbwnga/Nguzo Mbili
Dodoma
41214

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gilgal City Church - Kwa Nabii King Joshua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Gilgal City Church - Kwa Nabii King Joshua:

Share