T.A.G Chamwino Ikulu

T.A.G Chamwino Ikulu Karibu uabudu nasi , tujifunze Injili kamili ya Yesu Kristo

08/04/2026

Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu , hongereni kwa juma zuri la pasaka. Tunapenda kuwakaribisha muungane nasi katika ujenzi wa kanisa letu la Tanzania Assemblies of God T.A.G Chamwino Ikulu. Hapa ndio tumefikia kwa Sasa na tunaendelea kumuamini Mungu atatenda , karibu uungane nasi katika baraka hii.
Account Ya Kanisa Jina TAG Chamwino
10121094105 ( CRDB)

Karibu jumapil hii katika kanisa letu la TAG Chamwino Ikulu. Watoto wetu itakuwa ni sikukuu yao hivyo watatuhudumia usip...
15/06/2024

Karibu jumapil hii katika kanisa letu la TAG Chamwino Ikulu. Watoto wetu itakuwa ni sikukuu yao hivyo watatuhudumia usipange kukosa.

Maadhimisho ya jubilee ya miaka 85 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God
19/04/2024

Maadhimisho ya jubilee ya miaka 85 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God

04/08/2023

Mkutano wetu wa Injili unaendelea katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G Chamwino Ikulu ambapo Leo ni siku ya Tano na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Meshack Mbeyale kutoka Geita ameendelea kuhubiri Injili kamili ya Yesu Kristo na watu wapatao wanne wameokoka na wengine wengi kufunguliwa na kujazwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Tanzania Assemblies of God

Mwanyingi Fgg Uzao Mteule Tanzania
WALIOOKOKA TANZANIA GROUP 2 WALIOOKOKA TANZANIA | MIMI NA YESU

04/08/2023

Mkutano wetu wa Injili unaendelea katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G Chamwino Ikulu ambapo Leo ni siku ya Tano na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Meshack Mbeyale kutoka Geita ameendelea kuhubiri Injili kamili ya Yesu Kristo na watu wapatao wanne wameokoka na wengine wengi kufunguliwa na kujazwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Tanzania Assemblies of God
WALIOOKOKA TANZANIA GROUP 2
Uzao Mteule Tanzania
WALIOOKOKA TANZANIA | MIMI NA YESU

Mkutano wetu wa Injili unaendelea katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G Chamwino Ikulu ambapo Leo ni siku ya Tano na Mtumis...
04/08/2023

Mkutano wetu wa Injili unaendelea katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G Chamwino Ikulu ambapo Leo ni siku ya Tano na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Meshack Mbeyale kutoka Geita ameendelea kuhubiri Injili kamili ya Yesu Kristo na watu wapatao wanne wameokoka na wengine wengi kufunguliwa na kujazwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Ni shangwe nderemo na vifijo ambapo Injili kamili ya Yesu Kristo imeanza kuhubiriwa katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G C...
31/07/2023

Ni shangwe nderemo na vifijo ambapo Injili kamili ya Yesu Kristo imeanza kuhubiriwa katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G Chamwino Ikulu ambapo muinjilisti kutoka Dar es salaam Sadwell Grishael Mwakalebela Sadwell Grishael . Tumejifunza habari za mwana mpotevu ambae alipewa urithi na babaye na kwenda Nchi ya mbali na huko alitapanya Mali zake Kwa uasherati mpka kuishiwa kabisa na hatimae aliwaza moyoni mwake na kuamua kurudi Kwa baba yake na kutubu Ili awe angalau miongoni mwa wafanyakazi wake baba yake alimpokea Kwa shangwe na furaha , hivyo ilivyo na Yesu anakusubiria mwanae Ili akupokee na kukulaki Kwa shangwe.
Luka 15:11-24

Ni siku ya kwanza ya Mkutano wa Injili , ambao unafanyikia katika Viwanja vyetu vya T.A.G Chamwino Ikulu na Mtumishi wa ...
31/07/2023

Ni siku ya kwanza ya Mkutano wa Injili , ambao unafanyikia katika Viwanja vyetu vya T.A.G Chamwino Ikulu na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe tayari ameshawasili na ametuhudumia katika siku ya kwanza.
Ni siku saba za Ishara na miujiza karibu ukutane na Yesu nae atayabadilisha maisha yako.

Karibuni katika Mkutano wetu wa Injili , tukamtukuze Mungu
31/07/2023

Karibuni katika Mkutano wetu wa Injili , tukamtukuze Mungu

Tayari tuko viwanjani Chamwino Ikulu....
Karibu sana wakazi wa Chamwino wiki hii ni Yenu.

30/07/2023

Mtumishi wa Mungu Sadwell Grishael Mwakalebela Sadwell Grishael ni miongoni mwa wahubiri wetu katika Mkutano wetu wa Injili ambao utaanza kuunguruma kuanzia jumatatu ya tarehe 31 Julai mpka 6 Agosti 2023 katika Viwanja vya Kanisa la T.A.G Chamwino Ikulu vilivyopo Chamwino ikulu wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma.
Tumepata neema ya kujifunza kuhusu Imani.
Karibu kwenye mkutano wetu mkubwa wa Injili

Address

Chamwino Ikulu
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G Chamwino Ikulu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share