FPCT kiwandani mlowo

FPCT kiwandani mlowo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FPCT kiwandani mlowo, Christian church, Mlowo/Mbozi, Dodoma.

RATIBA ZA IBADA
Jumapil 3:30-6:30 mchana, 9:00-11:00 jion
Jumatano saa 9:00-11:00 jion
Ijumaa saa 9:00-11:00 jion


Jumatatu : Mapambazuko Choir
Jumanne: Maranatha choir
Jumamos : Gracious choir na Praise team
Alhamis : Wanawake (UWW)

KARIBU UABUDU NASI

Malanatha choir kanisan kwetu Fpct mlowo kiwanda karibuni sana tumwabudu Mungu kwa pamoj
03/06/2026

Malanatha choir kanisan kwetu Fpct mlowo kiwanda karibuni sana tumwabudu Mungu kwa pamoj

26/05/2026

Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu hakika tunaendelea kumuona katika ibada zetu watu wote tunawakaribisha

Bado tunaendelea kukukaribisha kuja kuungana na sisi katika ibada zetu katika kanisa la FPCT MLOWO KIWANDANI KWA PASTOR ...
26/05/2026

Bado tunaendelea kukukaribisha kuja kuungana na sisi katika ibada zetu katika kanisa la FPCT MLOWO KIWANDANI KWA PASTOR WILLISON MWANGOGE karibuni watu wote

Fpct Mlowo kiwandani
26/05/2026

Fpct Mlowo kiwandani

25/05/2026

Karibu tumsifu Mungu wetu na kwaya yetu nzuri ya vijana (Gracious choir)

karibuni sana watu wote
17/05/2026

karibuni sana watu wote

28/04/2026
16/04/2026

Waimbaji tuna ujumbe wetu kutoka Kwa Askofu Sixbert kuzenza wa FPCT Shalom Temple Kahama

Tunawatakia Kila la heri kwenye juma lenu mtakalolianza kesho.Mkalianze Kwa ushindi mkubwa sana maana Mbingu zinawaamini...
12/04/2026

Tunawatakia Kila la heri kwenye juma lenu mtakalolianza kesho.Mkalianze Kwa ushindi mkubwa sana maana Mbingu zinawaamini kuwa nyinyi ni jeshi kubwa

Address

Mlowo/Mbozi
Dodoma
2026

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT kiwandani mlowo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share