SUKA SDA CHOIR

SUKA SDA CHOIR evangelism through singing

22/06/2015

Sabato ijayo tarehe 27/06/2015 itakua ni siku ya majengo kanisani karibuni sana. Pia tutakua na kwaya ya kinyerezi. Karibuni wote tushiriki mibaraka ya Mungu wetu. Jinsi ya kufika kanisani s**a panda magari yaendayo mbezi kupitia morogoro road shuka kituo cha s**a nyuma ya sheli utaona kanisa la wasabato s**a.

22/06/2015
22/06/2015

Wapendwa twawasalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo tunawatakia siku njema...

25/02/2015

Bwana Yesu asaifiwe wapendwa wote tunapenda kuwa alika katika kanisa la waadventista wasabato S**a Jumamosi tarehe 28/02/2015 ambapo kutakua na sabato maalum kwaajili ya changizo kununua Kiwanja cha Kanisa tafadhali karibia tupate kubarikiwa wote,

karibuni wote katika kanisa la waadventista wasabato s**a  katika mikutano ya extravaganza itakayo endelea kwa wiki tatu...
11/01/2015

karibuni wote katika kanisa la waadventista wasabato s**a katika mikutano ya extravaganza itakayo endelea kwa wiki tatu mfululizo kuanzia tarehe 10 january hadi 30 / 2015.

Address

PO. BOX 53620 Dar Es Salaam
Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SUKA SDA CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share