Apostle Mog severin

Apostle Mog severin A MAN OF GRACE

 EFESO 2:8-10
12/05/2026


EFESO 2:8-10

MOJA KATI YA SILAHA ZA KUKUFANYA UWE JUU NA KUBAKI JUU UKIFIKA NI KUJITAMBUA (DETERMINATION)!WATU HAWAANGUKI WALA KUSHUK...
16/03/2026

MOJA KATI YA SILAHA ZA KUKUFANYA UWE JUU NA KUBAKI JUU UKIFIKA NI KUJITAMBUA (DETERMINATION)!

WATU HAWAANGUKI WALA KUSHUKA KWA BAHATI MBAYA!

WATU HAWAANZI VIZURI NA KUMALIZA VIBAYA KWA BAHATI MBAYA!

WOTE AMBAO UTASIKIA ANGUKO, KUKWAMA, KUSHINDWA AU KUHARIBIKIWA KUNA JAMBO MOJA WALILIKOSA TANGU CHINI, NA HILO JAMBO LINAITWA DETERMINATION!

KUPITIA MAANDIKO HAYA MIMI DICKSON CORNEL KABIGUMILA NILIAMUA YA KWAMBA HAKUNA SIKU NITAHARIBIKIWA, KUANGUKA WALA KUBAKI KUWA HISTORIA KWENYE KURASA ZA MAISHA!

EBU NIKUPATIE MAANDIKO HAYO UENDA YAKAKUPA KUJITAMBUA NA KUAMUA KUTOKUWA MTU WA KAWAIDA;

ANDIKO LA KWANZA;

"LAKINI SISI HATUMO MIONGONI MWAO WASITAO NA KUPOTEA, BALI TUMO MIONGONI MWAO WALIO NA IMANI YA KUTUOKOA ROHO ZETU"
(Waebrania 10:39)

Niliona siri zifuatazo kwenye andiko hili;

i) Kila mtu anayepotea (iwe kwenye imani, kwenye huduma, biashara, ndoa, taaluma, elimu au chochote) NDANI YAKE KULIKUWA NA KUSITA SITA! Yaani HAKUWA DETERMINED kubaki na UAMUZI MMOJA tu WA KUFIKA ANAKOKWENDA NA KUTOISHIA NJIANI!

Watu wengi wameokoka lakini ukiwauliza SIKU YA MWISHO JINA LAKO LITAKUWA MIONGONI MWA WALE WATAKAOINGIA UZIMANI? Watakujibu "Hiyo ni siri ya Mungu, tutajua siku yenyewe, Mungu atupe mwisho mwema"

Hii inaitwa K**ARI AU PATA POTEA! Unapaswa KUAMUA TANGU MWANZO UNATAKA KUISHIA WAPI NA UCHUKUE UELEKEO SAHIHI NA KUBAKI HUMO HADI MWISHO!

Wanaosafiri kwa MABASI huwa WAMESHAAMUA (DETERMINED) WANAKWENDA WAPI, NA WAKO TAYARI KUKAA KWENYE BASI SAHIHI KWA GHARAMA ZOTE MPAKA WANAFIKA MWISHO WALIOKUSUDIA! HAKUNA BAHATI MBAYA WALA MAJALIWA YA DEREVA KWENYE HILO!

ii) Kwenye andiko hili nilijifunza pia, ya kwamba KUNA ORODHA YA WATAKAOFANIKIWA KWENYE JAMBO LOLOTE LILE wanaitwa "WALIO NA IMANI YA KUZIOKOA ROHO ZETU"
Halafu kubwa kuliko, HAWAJATAJWA MAJINA! NI FREE CHEQUE ambayo YEYOTE ANAYEJITAMBUA NA KUAMUA ATAINGIA KWENYE ORODHA HIYO!
Na mimi nikasema, K**A PAULO, K**A ELIYA, K**A MITUME WOTE NA K**A BWANA YESU WALIMALIZA VIZURI, na Mimi Dickson Cornel Kabigumila iwe mvua au jua, iwe kwa kusimama au kuanguka, NIMEAMUA NA NIMEDHAMIRIA KUWA MIONGONI MWA WALIO NA IMANI YA KUZIOKOA ROHO ZETU!
Am in that list men! Siwezi kukosa humo, ROHO YANGU IMESHACHAGUA, AKILI YANGU IMEKUBALI KULIPA GHARAMA HIYO NA MOYO WANGU UMEWEKWA KWENYE ORODHA HIYO NA HAKUNA CHA KUNITOA HAPO!

Nikurudie wewe...
Are you determined?
Umeamua kiasi gani?
Au unataka vitu vitokee tu kimiujiza?

TWENDE JAMBO LA PILI...

Address

Dare Es Salaam
Dar Es Salaam
DSM

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Mog severin posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category