tekeleza amri za Allah

tekeleza amri za Allah HIVI KARIBUNI TUTAANZA KUSAPOTI
VIJANA WETU WA MADARASA. K**A UNA MWANAFUNZI WA MADARASA
ANAYE WEZA KUSOMA CHOCHOTE. KWA MAELEZO ZAIDI WHOTSAPP.

CHUKUA VIDEO NZURI TUTUMIE WHOTSAPP NAMBA YETU TUTAIPOSTI.

07/09/2026

Tazama ngamia wa ajabu anavyokatiza mitaa singida mjini.
Tazama mpaka mwisho.

Tutajie moja kati za Allah alipomshutumu ngamia mnyama mtukufu.
07/09/2026

Tutajie moja kati za Allah alipomshutumu ngamia mnyama mtukufu.

Tumegundua wanaume wa umu sio waoaji ni tamaa tu.Nimeongea na karibu watatu wote huwa wanaishia njiani.Nilichogundua wan...
07/09/2026

Tumegundua wanaume wa umu sio waoaji ni tamaa tu.
Nimeongea na karibu watatu wote huwa wanaishia njiani.
Nilichogundua wana tamaa zao tu sababu hawaridhishwi na wake zao.
Jamani wanawake wa kitanzania jitahidini kuwalisha waume zenu nyama ya ulimi.
Nahitaji mwanaume ambaye yuko serious na mim
Nikamlishe.

Utakuta mtu unamuomba ushauri kuwa kuna majini wabaya wanajisumbua nifanye je?Anakuambia eti dumu na udhu yataondoka yen...
06/09/2026

Utakuta mtu unamuomba ushauri kuwa kuna majini wabaya wanajisumbua nifanye je?
Anakuambia eti dumu na udhu yataondoka yenyewe.
Vihi kwanini mnakuwa na mas,khara na shida za watu?
Haswa wanaosemaga sana ni dhehebu la sunni.
Ndio maana wake zao wengi wana mapepo yamekaaga tu yanawamalizia chakula chao.
Ivi kweli udhu tu wakumtoae jini!!!
K**a ni hivyo basi watu wasingekwenda kwa masheikh kutibiwa.
Naombeni mnipe ushauri wa kujenga sio kubomoa

Mwenyewe yuko tayari kulea mimba ya mtu mwingine aje jamani.Maana nimepewa talaka.
06/09/2026

Mwenyewe yuko tayari kulea mimba ya mtu mwingine aje jamani.
Maana nimepewa talaka.

Nahitaji nusra.Ila angalia vidole vyangu.Ukikubali fresh.Changamka
05/09/2026

Nahitaji nusra.
Ila angalia vidole vyangu.
Ukikubali fresh.
Changamka

Niko online sasa.Natafuta mchumba.Comment namba yako nikikupenda nitakupigia.
04/09/2026

Niko online sasa.
Natafuta mchumba.
Comment namba yako nikikupenda nitakupigia.

Kuna mtu natafuta.Nilivutiwa sana naye.Bahati mbaya simu ilivyo haribika taarifa zikapotea.Naomba anicheki tena.Nataka t...
03/09/2026

Kuna mtu natafuta.
Nilivutiwa sana naye.
Bahati mbaya simu ilivyo haribika taarifa zikapotea.
Naomba anicheki tena.
Nataka tufunge ndoa nae.

Dunia ni starehe,Starehe nzuri ni kumpata mwanaume mwema.Anayejali hisia zangu
03/09/2026

Dunia ni starehe,
Starehe nzuri ni kumpata mwanaume mwema.
Anayejali hisia zangu

Nahiji ndoa:Nikipata mwanaume wa Saiz yangu moyo wangu utasuuzika sana.Embu kishawishi kwenye.Comment
03/09/2026

Nahiji ndoa:Nikipata mwanaume wa Saiz yangu moyo wangu utasuuzika sana.
Embu kishawishi kwenye.
Comment

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tekeleza amri za Allah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share