paschal Edward N

paschal  Edward N YOHANA 17:3 Na uzima wa Milele Ndio huu wakujue wew Mungu wa kweli wa pekee na YESU KRISTO ULIYEMTUMA

01/02/2026

Malaki 3:6-12 leteni ZAKA Nyumbani mwangu,

MASIKINI Yatima na mjane Hawa wote Hawana Madhabahu.

29/10/2025

Ndoto pia ni lango la kuingiza Roho ya mnyama

28/10/2025

SOMO la NDOTO Bado linaendelea

24/10/2025

TAFASIRI YA NDOTO uliyoota UNAIPATAJE?? JE UKIOTA NDOTO UKAISAHAU ufanye Nini? Sikiliza mpaka mwisho Kuna jambo Utajifunza

23/10/2025

K**a umeota UNAKULA CHAKULA ndotoni, au Upo SHULENI au kijijini kwenu, lipo Neno Kwa AJILI yako la kukusaidia kwenye hii clip

22/10/2025

Upo Muda waweza ibadili ndoto iwe K**a utakavyo wewe

18/10/2025

USIPITWE NA NENO hata Moja Kuna ujumbe mzuri sana Kwa AJILI yako Utaupata

17/10/2025

TAFASIRI YA NDOTO UNAIPATAJE, JE UKIOTA NDOTO UKAISAHAU ufanye Nini, JE UKIOTA NDOTO hiyo hiyo zaidi ya mara Moja Nini maana yake? Na ZAIDI YA HAYO MASWALI Fuatilia SOMO LOTE na uelewe Kila Neno Kisha Utakuwa na uelewa juu ya Ndoto Maana Ndoto ni ulimwengu Halisi. By prophet EDMOUND mystic Kimara Baruti -golani

16/10/2025

Na Hii ni Moja ya gharama ya kutokushukuru, unaweza kurudi nyuma Bila kujua CHANZO ni Nini, kumbe kutokushukuru TU kumeleta hayo matokeo

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when paschal Edward N posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category