NUPC Pentecostal Church

NUPC Pentecostal Church KARIBU KATIKA MADHABAHU YA NEEMA ILIYOJAA MALISHO YA KIROHO (NENO LA MUNGU LA KWELI).

13/04/2026
SUNDAY SERVICE AT N.U.P.C MAKAO MAKUU DAR ES SALAAMTAREHE 12/04/2026.
13/04/2026

SUNDAY SERVICE AT N.U.P.C MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM
TAREHE 12/04/2026.

NI WAKATI WA KURUDISHA SHUKRANI KWA MUNGU WETU KWA KILA JAMBO ALILOTUTENDEA MWAKA 2025.TUKUTANE MADHABAHU YA NEEMA4 JANU...
31/12/2025

NI WAKATI WA KURUDISHA SHUKRANI KWA MUNGU WETU KWA KILA JAMBO ALILOTUTENDEA MWAKA 2025.

TUKUTANE MADHABAHU YA NEEMA
4 JANUARY 2026

Zaburi 9:1 Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;

Zaburi 100:4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;

YEES NI LEO. MAHALI NI PALE PALE...N.U.P.C TABATA KIMANGA (SUNDOWN STREET).USISAHAU KUMWALIKA NA MWENZIO KUJA KUPOKEA BA...
31/12/2025

YEES NI LEO. MAHALI NI PALE PALE...
N.U.P.C TABATA KIMANGA (SUNDOWN STREET).
USISAHAU KUMWALIKA NA MWENZIO KUJA KUPOKEA BARAKA HIZI.

N.U.P.C TABATA KIMANGA.MOYO WA UTHUBUTUYeremia 30:21  Na mkuu wao atakuwa mtu wa kwao wenyewe, naye mwenye kuwatawala at...
29/12/2025

N.U.P.C TABATA KIMANGA.

MOYO WA UTHUBUTU
Yeremia 30:21 Na mkuu wao atakuwa mtu wa kwao wenyewe, naye mwenye kuwatawala atakuwa mtu wa jamaa yao; nami nitamkaribisha, naye atanikaribia; maana ni nani aliye na moyo wa kuthubutu kunikaribia? Asema Bwana.

25/12/2025
CHRISTMAS SERVICE WITH PROPHETY PHILBERT KINEGA.SOMO :- ASILI YA YESUYESU ANA ASILI MBILI1) ASILI YA WAZAZI[ BABA NA MAM...
25/12/2025

CHRISTMAS SERVICE WITH PROPHETY PHILBERT KINEGA.

SOMO :- ASILI YA YESU
YESU ANA ASILI MBILI
1) ASILI YA WAZAZI[ BABA NA MAMA]
2) ASILI YA MUNGU MWENYEWE.

Luka 1:26-35
26 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.

34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?

35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika k**a kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

N.U.P.C TABATA KIMANGA SUNDAY SERVICE (21/12/2025)SUNDAY OF RESTORATION...Yoeli 2:25  Nami nitawarudishia hiyo miaka ili...
21/12/2025

N.U.P.C TABATA KIMANGA

SUNDAY SERVICE (21/12/2025)

SUNDAY OF RESTORATION...
Yoeli 2:25 Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.

Isaya 57:18 Nimeziona njia zake; nami nitamponya; nitamwongoza pia, nitamrudishia faraja zake, yeye na hao wanaomlilia.

N.U.P.C TABATA KIMANGA SUNDAY SERVICE 21/12/2025.Yoeli 2:25  Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parar...
21/12/2025

N.U.P.C TABATA KIMANGA
SUNDAY SERVICE 21/12/2025.

Yoeli 2:25 Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.

N.U.P.C TABATA KIMANGA.ASANTENI KWA KUJA KUABUDU NASI.  Zaburi 33:4  Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, Na kazi yake yot...
20/12/2025

N.U.P.C TABATA KIMANGA.

ASANTENI KWA KUJA KUABUDU NASI.

Zaburi 33:4 Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.

N.U.P.C PRAISE TEAM THANKS FOR YOUR SERVICE 2 Samweli 6:5  Daudi na nyumba yote ya Israeli wakacheza mbele za Bwana kwa ...
19/12/2025

N.U.P.C PRAISE TEAM THANKS FOR YOUR SERVICE

2 Samweli 6:5 Daudi na nyumba yote ya Israeli wakacheza mbele za Bwana kwa nguvu zao zote, kwa nyimbo, na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa kayamba, na kwa matoazi.

Address

TABATA KIMANGA
Dar Es Salaam

Opening Hours

Tuesday 05:00 - 19:00
Thursday 05:00 - 19:00
Sunday 06:30 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NUPC Pentecostal Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share