KFP Kristo Familiar Power (KFP) Tunashiriki neno la MUNGU, Maombi na Ushuhuda. Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi
Karibu Familia💜💙

Ukiwa na Yesu ndani yako unaishi vizuri bila stress
06/07/2026

Ukiwa na Yesu ndani yako unaishi vizuri bila stress

Hivi Yesu akizaliwa upya leo, nani atakuwa Bikra Maria😆
06/07/2026

Hivi Yesu akizaliwa upya leo, nani atakuwa Bikra Maria😆

Hivi Adam na Hawa wasingeingia dhambini, leo tungekuwa bila nguo?🤔
06/07/2026

Hivi Adam na Hawa wasingeingia dhambini, leo tungekuwa bila nguo?🤔

06/07/2026

Wakati mwingine unatabasamu mbele ya watu...😊
Lakini ndani unalia kwa sauti😭

MUNGU anasikia hata kilio kisichosikika,.
Zaburi 34:18 "Bwana yu karibu na waliovunjika moyo💔

K**a nawewe moyo wako unaumia, Comment "BWANA NIFARIJI" na MUNGU atakuona.


05/07/2026

Siku hizi mke bora hutoka nyumbani kwao halafu mume bora ndo hutoka kwa Bwana...🙏😅
Hivyo basi ukibahatika kuingia katika ndoa mshukuru sana Mungu🙏

Je, nawewe unaamini mume bora ndo hutoka kwa Bwana?


05/07/2026

Waweza dhani niko sawa...

Kumbe Mungu anajua vita ninapigana ndani.
Je Wewe Mungu ni Nani kwako?

05/07/2026

KUTOKA 15:26
"K**a ukiyashika maagizo yangu yote; basi sitakuletea magonjwa yote niliyowaletea Wamisri, kwa maana mimi Bwana ni mponyaji wako"

Ndugu ukienda kanisani leo, kishindo chako kitayakimbiza maradhi yanayokunyemelea, matatizo nayo pia yatakukimbia🏃🙏

K**a unaenda kanisani comment "NAPIGA KISHINDO" Upokee baraka


04/07/2026

YOHANA 14:27
"Nawaachia amani, imani yangu nawapeni; Si k**a ulimwengu utoao. Moyo wenu usifadhaike, wala usiogope"

Tumuombe Mungu atuongoze kwa kila jambo hata tusikate tamaa kwa sababu ya woga na mafadhaiko🙏💪

Comment "NAPOKEA IMANI" na Mungu akubariki

04/07/2026

Njoo kwa Yesu tupendeze pamoja 🤗😅

Iwe Jumapili, iwe sabato, Mungu wetu ni mmoja na upendo wake ni mmoja🙏.

Comment "NAKUJA YESU" k**a uko Tayari kupendeza👇



04/07/2026

Isaya 40:31 "Lakini wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapaa kwa mbawa k**a tai, watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea wala hawatazimia"

Nawaombea Ibada iliyojaa upako leo💙
Sabato ya leo ikakubariki wewe na Familia yako...
Sabato ya Leo Ikabariki kazi zako na Biashara zako, ikakufungue kutoka katika vifungo vya giza...
Sabato ya leo ikakuponye magonjwa wanayokusumbua maana Sabato Imebarikiwa na Bwana (Mithali 10 : 22)🙏

Comment "Amen" upokee baraka hii👇

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KFP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share