Kanisa La Mji wa Mungu Sayuni

Kanisa La Mji wa Mungu Sayuni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa La Mji wa Mungu Sayuni, Religious organisation, DAR S SALAAM, Dar es Salaam.

Zaburi 122:1  Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.kitu gani kinakupa wewe furaha? tukutane kesho Nyum...
11/04/2026

Zaburi 122:1 Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.

kitu gani kinakupa wewe furaha?
tukutane kesho Nyumbani mwa Bwana SAYUNI.

Matendo ya Mitume 10:38  habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu naye akaz...
11/03/2026

Matendo ya Mitume 10:38 habari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na nguvu naye akazunguka huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Ibilisi; kwa maana Mungu alikuwa pamoja naye.

NI wakati wa Uponyaji kwa mataifa Tanzania yote, walete wote na waambie watu wote.

Karibu sana.

.
.

Biblia inamtaja Esau kuwa hafai, kwa sababu mambo ya kiroho hayakuwa na maana kwake. Aliichukulia kawaida haki ya mzaliw...
03/03/2026

Biblia inamtaja Esau kuwa hafai, kwa sababu mambo ya kiroho hayakuwa na maana kwake. Aliichukulia kawaida haki ya mzaliwa wa kwanza; kwake, ilikuwa kitu kisicho halisi, hivyo alifikiri inaweza kutupwa kando kwa kubadilishana na chakula. Lakini Mungu huutazama moyo; Aliona kwamba Esau alikuwa najisi. Hakuwa mchafu kwa sababu aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza; aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa sababu alikuwa mchafu.

Baadaye, wakati wa kupokea baraka ambayo ilikuwa imefungwa kwenye haki ya mzaliwa wa kwanza, aliipoteza licha ya kuitafuta kwa machozi (soma Waebrania 12:16-17). Hii ni wazi sana: unaweza kudanganya watu, lakini huwezi kudanganya Mungu. Anapima nia za moyo.

.

OMBA NAMI, Sema;Baba wa Mbinguni, ninakushukuru na ninakupenda. Asante kwa uzima na Amani kwangu na kwa familia yangu. A...
26/02/2026

OMBA NAMI, Sema;

Baba wa Mbinguni, ninakushukuru na ninakupenda. Asante kwa uzima na Amani kwangu na kwa familia yangu. Asante kwa kunijalia Neema ya kukujua na kumwamini Bwana wangu Yesu kristo, ninakiri ndani yake ninakwenda ninaishi na nimepata uhai wangu, nimekamilishwa na nimepata yote bila kupungukiwa na chochote. Ninashangilia wokovu na kuufurahia siku zote na nitautangaza ili wengine wajue upendo wako, kwa Jina la Bwana Yesu. Amen.

Address

DAR S SALAAM
Dar Es Salaam
17108

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Mji wa Mungu Sayuni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share