EAGT Nyumba Ya Baraka.

EAGT Nyumba Ya Baraka. We are a pentecostal church, reaching everyone through the Good News (Salvation) of Christ.

Mfungwa hata akionesha ujuzi kiasi gani, ujuzi huo huishia gerezani. - Christopher RahageneKaribu kanisani uombewe na uf...
28/08/2025

Mfungwa hata akionesha ujuzi kiasi gani, ujuzi huo huishia gerezani. - Christopher Rahagene

Karibu kanisani uombewe na ufunguliwe.

Wakati wa kufunguliwa na kupata mpenyo katika kila ufanyalo umefika. Karibu sana kanisani leo saa 10 jioni.
28/08/2025

Wakati wa kufunguliwa na kupata mpenyo katika kila ufanyalo umefika.
Karibu sana kanisani leo saa 10 jioni.

Karibu uabudu nasi Jumapili hii.
16/08/2025

Karibu uabudu nasi Jumapili hii.

Tunaomba mpaka Mbingu iseme.
16/08/2025

Tunaomba mpaka Mbingu iseme.

Tumemuona Bwana jana kwenye mkesha. Tunawakaribisha sana wote Jumapili hii tuabudu pamoja. 🙏🏾
16/08/2025

Tumemuona Bwana jana kwenye mkesha.
Tunawakaribisha sana wote Jumapili hii tuabudu pamoja. 🙏🏾

Karibu tuombe pamoja leo saa 3 na nisu usiku. Njoo na mtu, usilale nyumbani.
15/08/2025

Karibu tuombe pamoja leo saa 3 na nisu usiku.
Njoo na mtu, usilale nyumbani.

Karibu ujifunze neno la Mungu pamoja nasi leo. Kwa mawasiliano piga 0713461411.
13/08/2025

Karibu ujifunze neno la Mungu pamoja nasi leo.

Kwa mawasiliano piga 0713461411.

Address

Tabata Sanene
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Nyumba Ya Baraka. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share