27/04/2026
Wiki mpya Ipo
Nguvu kwako Isiyotetereka
"Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye juu"(Zaburi 46:1,4)
Ni kawaida kujisikia kulemewa pale, "milima" kukosa utulivu maeneo mabalimbali, kifedha, kiafya ama kwenye shughuli zetu pale vinapoonekana kutikisika.-Wiki hii zingatia Mungu sio mfariji aliye mbali, Yupo karibu na anapatikana nyakati zote.
Wakati wowote, uonapo kuelemewa, -mkimbilie na utake msaada wake-Usibebe mambo peke yako.
Mwekee tumaini Mungu, wakati wote upo utayari,amani na msaada wa Roho mtakatifu kukusaidia katika kutimiza hatua na mahitaji yako.
Zingatia; Angalia, k**a ipo hofu yoyote na mkabidhi Mungu kikamilifu aliye kimbilio lako.
Shalom.
Eng....
This New week-Unshakable Strength
Is available for you!
"God is our refuge and strength, a very present help in trouble.There is a river whose streams make glad the city of God, the holy habitation of the Most High"
— Psalm 46:1,4(ESV)
It’s easy to feel overwhelmed when our "mountains"—our stability, finances, or health—feel like they are shaking. This week, remember that God is not just a distant comfort; He is an ever-present help. When you feel trapped in a "tight spot," run to Him. You don't have to carry the burden alone.
Trust in God. Be assured that always there will be peaceful, steady, and life-giving presence of God by His Holy Spirit, will flow every moment to satisfy your needs.
Lesson to act upon: Identify one fear you are carrying and explicitly hand it over to God as your refuge.
Shalom
inatawala njia zako daima.
-ShekinahCity