Kkkt Dmp Usharika Wa Kibamba

Kkkt Dmp Usharika Wa Kibamba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kkkt Dmp Usharika Wa Kibamba, Religious organisation, Kibamba Kwa Mangi, Dar es Salaam.

KARIBU TUOMBEE MAOMBI YA MALNGO YA USHARIKA WA KIBAMBA MAOMBI YATAANZA LEO MPAKA IJUMAAMUNGU AKUBARIKI
01/10/2025

KARIBU TUOMBEE MAOMBI YA MALNGO YA USHARIKA WA KIBAMBA

MAOMBI YATAANZA LEO MPAKA IJUMAA

MUNGU AKUBARIKI

Neno Moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, Niutaza...
25/04/2025

Neno Moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni mwake

Zab 27:4


furaha ya BWANA ni nguvu zenu.Neh 8:10
25/04/2025

furaha ya BWANA ni nguvu zenu.

Neh 8:10

Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambiZab 119:11
25/04/2025

Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi

Zab 119:11

Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni k**a mnyama.Mit 12:1 SUV
25/04/2025

Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni k**a mnyama.

Mit 12:1 SUV

25/04/2025


Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwa...
25/04/2025

Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

2 Tim 3:16-17 SUV

21/04/2025

Address

Kibamba Kwa Mangi
Dar Es Salaam
+255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kkkt Dmp Usharika Wa Kibamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share