Mama wa watoto wengi

Mama wa watoto wengi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mama wa watoto wengi, Evangelical church, Mbagala, Dar es Salaam.

14/08/2025
Dr. Rachel Kabunda, akiwa shuleni Faith Nursery and Primary school kijichi akipata elimu pamoja na wanafunzi jinsi ya ku...
05/03/2025

Dr. Rachel Kabunda, akiwa shuleni Faith Nursery and Primary school kijichi akipata elimu pamoja na wanafunzi jinsi ya kuzima moto, na kujikinga na majanga ya mlipuko wa gesi majumbani toka kwa Afisa wa mafunzo kwa umma kikosi cha zimamoto toka Dar es salaam.
Watoto na wafanya kazi wa shule walifurahi sana.

MALEZI BORA, TAIFA IMARA!"Taifa linaloendelea linaanzia katika familia imara.Dr. Rachel Kabunda anaendelea kupigania mal...
05/03/2025

MALEZI BORA, TAIFA IMARA!
"Taifa linaloendelea linaanzia katika familia imara.

Dr. Rachel Kabunda anaendelea kupigania malezi yenye maadili kwa watoto wetu kupitia Jumuiya ya Wazazi.

Je, wewe umechangia vipi katika kujenga msingi wa kizazi chetu kijacho?"

Tunaalika kusimama na wanafunzi hao kwa mahitaji yafuatayo:-📌Bima ya Afya📌Sare za shule📌Viatu vya shule &📌Mabangi ya shu...
05/03/2025

Tunaalika kusimama na wanafunzi hao kwa mahitaji yafuatayo:-
📌Bima ya Afya
📌Sare za shule
📌Viatu vya shule &
📌Mabangi ya shule

Tushirikiane kwa maendeleo ya vizazi vijavyo!"
20/02/2025

Tushirikiane kwa maendeleo ya vizazi vijavyo!"

19/02/2025

CCM TUTASHIKA DOLA KWA KURA ,SI BUNDUKI.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira azungumzia uchaguzi mkuu wa mwaka huu, "Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki".

MALEZI BORA, TAIFA IMARA!"Taifa linaloendelea linaanzia katika familia imara. Dr. Rachel Kabunda anaendelea kupigania ma...
19/02/2025

MALEZI BORA, TAIFA IMARA!
"Taifa linaloendelea linaanzia katika familia imara.

Dr. Rachel Kabunda anaendelea kupigania malezi yenye maadili kwa watoto wetu kupitia Jumuiya ya Wazazi.

Je, wewe umechangia vipi katika kujenga msingi wa kizazi chetu kijacho?"

29/01/2025

Wazazi Wapendwa,
Tafadhali mlete mtoto wako kwenye Shule Bora ya Faithschools, shule ambayo inazingatia maadili, elimu bora, na malezi ya kina. Tunaamini kuwa "Elimu Bora inaleta Familia Bora", na lengo letu ni kumwandaa mtoto wako kuwa na msingi imara wa kielimu na maadili mema kwa maisha ya baadaye.

Kwa nini uchague Faith Schools?

1. Mazingira Salama na Rafiki kwa Watoto - Tunajali usalama na ustawi wa kila mtoto.

2. Elimu ya Ubora wa Hali ya Juu - Tunatoa huduma za Daycare, Nursery, na Primary zenye walimu wenye uzoefu mkubwa.

3. Kukuza Maadili - Tunaweka msisitizo kwenye malezi bora na maadili ili kuwajenga watoto kiakili, kijamii, na kiroho.

4. Gharama Nafuu - Tunatoa elimu bora kwa gharama nafuu kwa kila mzazi.

5. Usafiri wa Hiari - Tunatoa huduma ya usafiri kwa wale wanaohitaji, ili kuhakikisha watoto wako wanafika shuleni na kurudi nyumbani salama.

Jiunge Nasi Sasa! Nafasi za kuhamia bado zipo. Jiandikishe kila siku shuleni au wasiliana nasi kupitia:

OFISINI MAULIZO KWA NAMBA
📞 0784 009 000 | 0782 326 000 | 0715 616 191

Pamoja tunasema,
"Quality Education Brings Better Family."

Address

Mbagala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama wa watoto wengi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share