Fpct Kitunda Kati Dsm

Fpct Kitunda Kati Dsm Tunakaribisha wote kuja kuabudu, kuomba na kukua kiroho pamoja nasi.

📍 K

FPCT Kitunda Kati ni kanisa la Kikristo lililopo Kitunda Kati, Dar es Salaam, lenye lengo la kuhubiri Injili ya Yesu Kristo, kuimarisha imani, na kujenga jamii yenye maadili mema.

ibada ya jumapili iliyopita ilikuwa njema sana
10/03/2026

ibada ya jumapili iliyopita ilikuwa njema sana

Tangazo la uchumba jumapili ya leo on fireeeeee
22/02/2026

Tangazo la uchumba jumapili ya leo on fireeeeee

Ibada ya j/mapili ya ter 15 ikiamba tana na ibada ya hitimisho ya maombi ya siku.               40  hakika MUNGU nimwe a...
17/02/2026

Ibada ya j/mapili ya ter 15 ikiamba tana na ibada ya hitimisho ya maombi ya siku. 40 hakika MUNGU nimwe alituonekania

Twenzetu FPCT kitunda tuka Mshukuru MUNGU wetu usipange kukosa  nyote mna karibishwa
12/02/2026

Twenzetu FPCT kitunda tuka Mshukuru MUNGU wetu usipange kukosa nyote mna karibishwa

03/02/2026
MAOMBI YA SIKU 40 January 2026    wanitafutao kwa bidii ndio watakao niona asema Bwana wa majeshi. jiandae Sasa kumlilia...
20/12/2025

MAOMBI YA SIKU 40 January 2026
wanitafutao kwa bidii ndio watakao niona asema Bwana wa majeshi.
jiandae Sasa kumlilia Mungu. kumbuka maombi ndo siraha ya pekee ya kungunja NGUVU zote za Giza na kukufungua kutoka kwenye vifungo vilivyo shindikana.

Ni wiki ya watoto.mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapo kuwa Mzee.
20/12/2025

Ni wiki ya watoto.
mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapo kuwa Mzee.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fpct Kitunda Kati Dsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category