Calvary assemblies of God Yombo Vituka

Calvary assemblies of God Yombo Vituka Moving people from where they are to where God wants them to be

Psalms 16:11. Thou wilt shew me the path of life: in thy presence is fulness of joy; at thy right hand there are pleasur...
26/03/2025

Psalms 16:11. Thou wilt shew me the path of life: in thy presence is fulness of joy; at thy right hand there are pleasures for evermore.
Mchungaji kiongozi wa kanisa CAG YOMBO VITUKA anakukaribisha kwenye semina itakayoanza 28-30/03/2025 kuanzia saa kumi na moja kamili jioni

Itaambatana na IBADA YA SIFA NA KUABUDU 30/03/2025

Don’t miss this powerful service ‼️

Don’t plan to miss this🔥🔥🔥 mahali ni pale pale, kanisa Calvary Assemblies of God, Yombo Vituka karibu na soko la miteda…...
27/02/2025

Don’t plan to miss this🔥🔥🔥 mahali ni pale pale, kanisa Calvary Assemblies of God, Yombo Vituka karibu na soko la miteda…

Zaburi 80:18-19. Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma; Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako. Ee BWANA, Mungu wa majeshi, ut...
30/01/2025

Zaburi 80:18-19. Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma; Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako. Ee BWANA, Mungu wa majeshi, uturudishe, Uangazishe uso wako nasi tutaokoka. DON’T PLAN TO MISS THIS ONE 🔥🔥.

SOMO: JINSI UTOAJI WETU UNAVYOTUPA UTHAMANI MBELE ZA MUNGU  warumi 12:1-2- Unapotoa mwili wako kuwa sadaka mbele za Bwan...
05/01/2025

SOMO: JINSI UTOAJI WETU UNAVYOTUPA UTHAMANI MBELE ZA MUNGU
warumi 12:1-2
- Unapotoa mwili wako kuwa sadaka mbele za Bwana, unapata uthamani mkubwa sana mbele za Mungu.
- Mungu anaangalia sana UTOAJI wako binafsi wa ZAKA na DHABIHU madhabahuni pake.
- Jitahidi sana kuonesha Imani yako kwa KUTOA
- Hakuna uthamani wako k**a MUNGU atajidhihirisha kwako na USITOE
- Unapomsikia Mungu, TOA
Filipi 2:5- 11, Yak 2:21

SOMO: JINSI UTOAJI WETU UNAVYOTUPA UTHAMANI MBELE ZA MUNGU  warumi 12:1-2- Unapotoa mwili wako kuwa sadaka mbele za Bwan...
05/01/2025

SOMO: JINSI UTOAJI WETU UNAVYOTUPA UTHAMANI MBELE ZA MUNGU
warumi 12:1-2
- Unapotoa mwili wako kuwa sadaka mbele za Bwana, unapata uthamani mkubwa sana mbele za Mungu.
- Mungu anaangalia sana UTOAJI wako binafsi wa ZAKA na DHABIHU madhabahuni pake.
- Jitahidi sana kuonesha Imani yako kwa KUTOA
- Hakuna uthamani wako k**a MUNGU atajidhihirisha kwako na USITOE
- Unapomsikia Mungu, TOA🙏🙏

Tunakuabudu wewe Mungu pekee maana wewe ndiwe Muumba miisho ya dunia, ambaye huzimii, wala huchoki; na akili zako hazich...
05/01/2025

Tunakuabudu wewe Mungu pekee maana wewe ndiwe Muumba miisho ya dunia, ambaye huzimii, wala huchoki; na akili zako hazichunguziki🙏🙏

Tunakuabudu maana wewe peke yako unastahili kuabudiwa, wewe mdiwe Mungu muumba miisho ya dunia, ambaye hazimii, wala hac...
05/01/2025

Tunakuabudu maana wewe peke yako unastahili kuabudiwa, wewe mdiwe Mungu muumba miisho ya dunia, ambaye hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki🙏🙏

2 Timotheo 1:8 Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pa...
05/01/2025

2 Timotheo 1:8 Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kwa ajili ya Injili, kwa kadiri ya nguvu ya Mungu

Kuna kicheko cha ajabu ndani ya Yesu🔥🔥            Zaburi 68:3 Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Na...
05/01/2025

Kuna kicheko cha ajabu ndani ya Yesu🔥🔥 Zaburi 68:3 Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha.

Tunaendelea na somo letu la faida za utoaji kwa mkristo, katika kuangalia marekebisho tunayotakiwa kuwa nayo k**a kanisa...
04/01/2025

Tunaendelea na somo letu la faida za utoaji kwa mkristo, katika kuangalia marekebisho tunayotakiwa kuwa nayo k**a kanisa la Kristo kwa mwaka 2025, utoaji wa zaka na sadaka ni sehemu kubwa yenye kuhitaji mabadiliko ili tuweze kuwa na mwaka wenye utimilifu na mafanikio🔥🔥 Tukuatane ibadani kesho mapema sana.

Address

Yombo Vituka
Dar Es Salaam
142

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Calvary assemblies of God Yombo Vituka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share