22/04/2026
TAARIFA:
Baba Mtakatifu Papa Leo XIV
Amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi Askofu Msaidizi wa
Jimbo Kuu la Dodoma kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa kufuatia kifo cha Askofu wake Mhashamu
Bernadin Francis Mfumbusa.
Uteuzi huo Umetangazwa na Balozi wa Papa Nchini Tanzania Mhashamu Askofu Mkuu Angelo Accatino na unaanza Leo
April 22 2026.