Prophet Edmound Mystic

Prophet Edmound Mystic 2024 is Our Prophetic year in which God’s dwelling place among humans is with us walking among us (2 Cor 6:16; Revelation 21:3)

Prophet of the Living God || Speaker of Life at HIM Church || Lifeline: +255 (0) 754 091 738 || Member of the Heavenly Council of the Living God.

POLENI KARIAKOO!!Nimewaza sana!!😭 Pengine alitamani kuahirisha aende kesho yake, lakini akaona awahi tu aimalize ratiba ...
18/11/2024

POLENI KARIAKOO!!

Nimewaza sana!!😭 Pengine alitamani kuahirisha aende kesho yake, lakini akaona awahi tu aimalize ratiba ya siku hiyo! Akaondoka zake kwenda kariakoo kutafuta maana alijua hakuna atakayemsaidia kuwalea watotot wake😥 Mwanamke shupavu lakini hakujua kilichoandaliwa mbele yake. LAITI K**A TUNGEWASKILIZA MANABII, Tukawa na sauti yenye kuona, kinywa chenye macho hakika tungeokoka! Mwamini Yesu leo! Waaminini MANABII🙌🏽

Mpende Mungu ukingali Hai. Mkumbuke muumba wako ungali na nguvu. Kesha ukiomba maana hujui siku wala saa!! Walienda Kari...
18/11/2024

Mpende Mungu ukingali Hai. Mkumbuke muumba wako ungali na nguvu. Kesha ukiomba maana hujui siku wala saa!! Walienda Kariakoo wakiamini watarudi nyumbani kwao salama. Waliacha maagizo hata ya chakula gani waandaliwe. Wengine walifunga ofisi zao kwa muda ili kwenda kuongeza mzigo wa dukani mwao; waliamini wana maisha baada ya haya yote; Kumbe haikuwa hivyo. Maisha ya Mtu ni fumbo; baadae ya mtu imefichwa machoni pake. Mkubali Yesu leo uokoke! Ili huko uendako uende salama. AMEEN!!

In His Prescence!! There’s Joy unspeakable!
18/11/2024

In His Prescence!! There’s Joy unspeakable!

18/11/2024
Sunday service Highlights!
18/11/2024

Sunday service Highlights!

Your Gates shall be open day and Night (Isaiah 60:11)
18/11/2024

Your Gates shall be open day and Night (Isaiah 60:11)

18/11/2024

MOMENT IN PROPHETIC

18/11/2024

Moment in prophetic

Saa 1.00 Usiku! Leo Mwambie rafiki na ndugu wa Geita!
16/11/2024

Saa 1.00 Usiku! Leo Mwambie rafiki na ndugu wa Geita!

Kila tunachokiona kikiyazunguka maisha yako kilikufikia kupitia malangoni. Lolote lile unalolitamani kwenye maisha yako ...
16/11/2024

Kila tunachokiona kikiyazunguka maisha yako kilikufikia kupitia malangoni. Lolote lile unalolitamani kwenye maisha yako lakini bado haujafanikiwa kuwa nalo, ni kwa sababu limezuiliwa malangoni. Huwezi kuwa mkuu hapa duniani zaidi ya vile vilivyoruhusiwa na MALANGO! Jambo usilolijua ni hili: KILA MTU ANA MALANGO YAKE! Je, yamefunguliwa?? Usikose jumapili hii ya kinabii itakayoyaamuru malango yako kuwa wazi usiku na mchana. Isaya 60:11 Na malango yako yatakuwa wazi Usiku na Mchana”

Share!!

Kila tunachokuona kikiyazunguka maisha yako, kiliingia kupitia malangoni! Lolote lile unalolitamani kwenye maisha yako l...
16/11/2024

Kila tunachokuona kikiyazunguka maisha yako, kiliingia kupitia malangoni! Lolote lile unalolitamani kwenye maisha yako lakini haujafanikiwa kuwa nalo, ni kwa sababu limezuiliwa malangoni. Huwezi kuwa mkuu hapa duniani zaidi ya vile vilivyoruhusiwa na malango! Jumapili hii usikose KUYAFUNGUA NALANGO YAKO! Isaya 60:11 Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa!

Address

Msewe, Golani
Dar Es Salaam
40628

Opening Hours

Tuesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 13:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255754091738

Website

https://him.or.tz/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Edmound Mystic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share