UfufuoKinondoni

UfufuoKinondoni Services on Mon, Wed, Friday from 5:00pm | Sunday 8:45am - 2:30pm
๐Ÿ“ Tegeta, Viwanja Vya Mkanada

03/09/2026

Maombi ya kujitenga na mambo mabaya yanayofuatilia ukoo, familia kutoka kizazi hadi kizazi


03/09/2026

Ndoto za mtu huelezea hali ya maisha ya mtu alivyo katika maisha ya kawaida anayoishi!.


03/09/2026

Unapokuwa umeitwa na Mungu kwa ajili ya kuokoa watu wako, wale wale wanaweza kukugeuka.


03/09/2026

Kuna baadhi ya watu ya watu wana bidii ya kufanikiwa lakini hawafanikiwi kwa sababu mfumo rohoni hauruhusu watu kufanikiwa!.


03/09/2026

Zile tabia ambazo mtu anazionesha zinaashiria kuwa yeye ni wa nani, ni wa Mungu ama wa shetani.

03/09/2026
03/09/2026

Ukianza kuishi kwa imani unakuwa mrithi wa ahadi za Ibrahim ambaye ndio baba wa Imani.


02/09/2026

Yeye aliye mtumwa hana mali, wala hamiliki chochote na chochote alichonacho mtumwa ni cha yeye aliyemweka kuwa mtumwa.


02/09/2026

Wachawi wanapokuja usiku kuroga huwa wanavaa maumbo ya miili ya viumbe vingine ili kusudi wasijulikane na usiwafahamu.

Address

TEGETA
Dar Es Salaam
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UfufuoKinondoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category