UPAKO LIVE

UPAKO LIVE UPAKO LIVE
(2)

08/09/2026

JIJI LA ARUSHA LIMEITIKIA WITO WA NENO LA MUNGU KWA SIKU TATU MFULULIZO KWENYE KONGAMANO LA MALANGO YAKO NAYO KUWA WAZI DAIMA....MAELFU NA MAMIA YA WAUMINI WALIFURIKA KATIKA VIWANJA VYA MAGEREZA,KISONGO KUMPOKEA MTUMISHI WA MUNGU HUYU NI MTUME BONIFACE MWAMPOSA BULLDOZER...

Shukrani kubwa kwa wakazi wote wa ARUSHA 💛⛰️
Kwa upendo, ukaribisho na mapokezi ya dhati kwa Mtumishi wa Mungu, Mtume Mwamposa.

Arusha umeonyesha tena kuwa ni mji wa watu wa Mungu.
Mliofungua milango yenu.
Mliofungua nyoyo zenu.
Mliojaa makanisani kumsikia Neno la uzima.

Mungu wa Mtume Mwamposa na Mungu wa miujiza awabariki nyinyi na familia zenu.
Awafungulie malango ya kazi, biashara na amani katika mji wenu.
Kila aliyepokea Neno na kuombewa, apokee shuhuda yake..

📝Enock Iku

Tunashukuru Arusha!
Mungu atubariki sote.

07/09/2026
07/09/2026

UUMBAJI UNAANZA NA WEWE NDANI YAKO...

07/09/2026

BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU MWAMPOSA...

06/09/2026

MGANGA WA KIMATAIFA AJISALIMISHA KWA MWAMPOSA...

06/09/2026

Jiji la Arusha Limepokea Baraka Na Kufunguliwa kwa Siku Tatu za Maombi ya Baraka zikiongozwa na Mpakwa Mafuta Mtume Boniface Mwamposa wa Madhabau ya Inuka Na Uangaze.....

Jana kwenye Kongamano la Malango Yako Nayo Yatakuwa Wazi Daima...

Watu wamefunguliwa Na Kupokea Miujiza Yao papo hapo wapo waliokuja na vimbe,upofuu,ulemavu wote hao Wamepokea Kwa Jina La yesu Na Malango Yao Yamekuwa Wazi Daima....

06/09/2026

ALIYEKUWA ANAPUMUA KWA KUTUMIA GESI APONA KWA MIUJIZA...

Mwimbaji wa Nyimbo za Injiri Emmanuel Mgogo Kakusanya Umati wake hapa Katika Kongamano la Malango Yako Nayo Yatakuwa Waz...
05/09/2026

Mwimbaji wa Nyimbo za Injiri Emmanuel Mgogo Kakusanya Umati wake hapa Katika Kongamano la Malango Yako Nayo Yatakuwa Wazi Daima Katika Viwanja vya Magereza,Kisongo....

Mwimbaji wa Nyimbo za Injiri Neema Mudosa 🇨🇩🇹🇿. Akusanya Kijiji Chake hapa katika Viwanja vya Kisongo Jiji Arusha Kwenye...
05/09/2026

Mwimbaji wa Nyimbo za Injiri Neema Mudosa 🇨🇩🇹🇿. Akusanya Kijiji Chake hapa katika Viwanja vya Kisongo Jiji Arusha Kwenye Kongamano La Malango Yako Nayo Yatakuwa Wazi Daima.....

Vitabu ,,Majarida,,,Vipeperushi vya  Mwaka wa Malango Yako Kuwa Wazi Daima Vipo na Vinapatikana Hapa Uwanjani.....Silaha...
05/09/2026

Vitabu ,,Majarida,,,Vipeperushi vya Mwaka wa Malango Yako Kuwa Wazi Daima Vipo na Vinapatikana Hapa Uwanjani.....

Silaha za Kiroho Maji na Mafuta Pia Yanapatikana hapa wahi vifaa tiba Vilivyoombewa na Kubarikiwa Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Bulldozer( Somba Somba )...

"Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine. Kwa nafsi yangu nimeapa, neno hili limetoka kinywani mwangu katika haki, wala halitarudi, ya kwamba mbele zangu kila goti litapigwa, kila ulimi utaapa"

Isaya 45:22-23

Endelea Kutufatilia kupitia Mitandao yetu ya Kijamii...
Youtube
Fb
Ig
X

....

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UPAKO LIVE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category