05/04/2026
*YESU (YAHUSHA) AMEFUFUKA*
Katika jina la Yesu Kristo mambo yako nawewe mtu wa Mungu leo yakafufuke,
1. Yale yaliyokufa kwasababu ya hila zao adui, yakafufuke leo
2. Biashara yako ikafufuke
3. Mawazo mazuri yake maendeleo yako yakafufuke leo kwa jina lako Yesu
4. Elimu yako iliyozikwa ikafufuke leo
5. Kazi yako ilizozikwa katika ulimwengu wa roho, ikafufuke sasa
Na pale ulipozikwa katika ulimwengu wa Roho ukafufuke leo, ukakafufuke sasa ili 'na katika ulimwengu wa mwili ukapate kibali.
Heri ya PASAKA (passover)
SERVANT: Franklin_Henocko