Tuwafunze Swala

Tuwafunze Swala Program maalum inayojihusisha na utoaji wa mafunzo ya utekelezaji wa ibada ya swala kwa vitendo. حي علي الصلاة

MASHINDANO YA UTUNZI WA MASHAIRI NA INSHA⏺️ Tuwafunze Swala Initiative inawaalika wanafunzi wote wa shule za msingi na s...
22/02/2024

MASHINDANO YA UTUNZI WA MASHAIRI NA INSHA

⏺️ Tuwafunze Swala Initiative inawaalika wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari kushiriki katika mashindano ya utunzi wa mashairi na insha!

⏺️ Mada yetu ni: Ibada ya swala na maendeleo kwa jamii.

⏺️ Kushiriki ni rahisi, tuma kazi yako katika mfumo wa PDF kupitia WhatsApp namba: +255 735 393 991 kabla ya tarehe 31 Machi 2024.

Kumbuka:-

📌 Tumia lugha moja tu kati ya Kiswahili au Kingereza
📌Weka taarifa zako kamili ikiwa ni pamoja na Jina lako, Shule pamoja na Kidato au Darasa.

⏺️ Tunahimiza kila mtu kusambaza ujumbe huu kwa marafiki na famili ili kupata idadi nzuri ya washiriki.

⏺️ Wasiliana nasi kupitia kurasa za mitandao ya kijamii, au tuandikie kupitia baruapepe: [email protected]


.
10/11/2023

.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuwafunze Swala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tuwafunze Swala:

Share