Ihembe youths together we can

Ihembe youths together we can Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ihembe youths together we can, Dar es Salaam.

kikindi cha vijana wa ihembe,
ambacho kimeundwa kwa nia ya kuhamasisha vijana wote
il kufanya kazi hususani za kuleta maendeleo mbali mbali katika jamii
kutengeneza miradi mbali mbali ndani ya kijiji cha ihembe

Tunapenda kuwakaribisha nyote kutoka sehem mbali mbali kuhudhuria semina ya vijana wa ihembe itakayofanyika Kijiji Cha i...
28/11/2019

Tunapenda kuwakaribisha nyote kutoka sehem mbali mbali kuhudhuria semina ya vijana wa ihembe itakayofanyika Kijiji Cha ihembe (amgongo) wilayani karagwe, njoo ujifunze Mambo mbali mbali ya kibiashara kilimo na ufugaji, KARIBUN NYOTE

Pia unaweza ukatupata kwenye ukurasa wa Instagram
22/11/2019

Pia unaweza ukatupata kwenye ukurasa wa Instagram

21/11/2019

Kanisa la Roman Catholic lipatikanalo katika Kijiji Cha ihembe
20/11/2019

Kanisa la Roman Catholic lipatikanalo katika Kijiji Cha ihembe

Rudi nyumbani kumenoga
20/11/2019

Rudi nyumbani kumenoga

23/03/2019

Like our page on Facebook

Follow us on Instagram

Mwenyewe wanamwita m/kiti, wa kikundi cha   Mr baraka, kiongozi bora anayetuongoza katika maadili mazuri, mungu amuongez...
22/03/2019

Mwenyewe wanamwita m/kiti, wa kikundi cha Mr baraka, kiongozi bora anayetuongoza katika maadili mazuri, mungu amuongeze ujuzi na upeo imara tuweze Kufanikisha malengo yetu

Ujana ni kipaji ambacho mtu hupitia kina  baraka nyingi mno maana nguvu na fikira za kijana mwema huwa zenye busara na h...
19/03/2019

Ujana ni kipaji ambacho mtu hupitia kina baraka nyingi mno maana nguvu na fikira za kijana mwema huwa zenye busara na humuwezesha kijana kuwa na mafanikio mbali mbali, ewe kijana amka dunia imekusubri VIJANA WA IHEMBE TUMEAMKA, WEWE JE UMESUBIRI NINI??

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ihembe youths together we can posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share