Tuombe Na Yesu Kristo

Tuombe Na Yesu Kristo NJOO UJIFUNZE KUMJUA MUNGU NA KRISTO WAKE, MAPENZI YAKE, AMRI ZAKE NA SHERIA ZAKE, UTOKE VIFUNGONI UKAMUABUDU PASIPO MASHAKA NAWE UTAJIBIWA KILA UMUOMBAPO.

Shujaa mbele za Mungu ni mtu mmoja tu; Mtu aliyeamua kutoka katika dini ya UKRISTO au UISLAM NA MADHEHEBU YAKE YOTE na k...
23/03/2026

Shujaa mbele za Mungu ni mtu mmoja tu;
Mtu aliyeamua kutoka katika dini ya UKRISTO au UISLAM NA MADHEHEBU YAKE YOTE na kumuamini Mungu wa kweli na kristo wake.
Hakika huyo asubirie kuvishwa taji na Baba 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

UNGEPENDA KUFAHAMU NINI KUHUSU UFALME WA MUNGU USICHOKIFAHAMU KWA MUJIBU WA MAANDIKO?
21/10/2025

UNGEPENDA KUFAHAMU NINI KUHUSU UFALME WA MUNGU USICHOKIFAHAMU KWA MUJIBU WA MAANDIKO?

19/10/2025

LEO KUNA WAJINGA WAWILI 👰🤵 WALIENDA KUMDHIHAKI MUNGU WA KWELI KISHA WAKALIPISHWA KWA HIARI NA WAAKAAMURIWA J'PILI WAENDE TENA

25/09/2025

Thank God I'm back

Mtu mmoja akisoma na kuelewa mafundisho ya ukurasa huu na thaminiwa mbinguni kuliko maelfu ya watu  wanaokesha kwenye ma...
16/09/2025

Mtu mmoja akisoma na kuelewa mafundisho ya ukurasa huu na thaminiwa mbinguni kuliko maelfu ya watu wanaokesha kwenye majengo ya dini zao (misikitini na makanisani)

JENGA HESHIMA MBINGUNI, UTUKUFU WA DUNIANI UNAISHIA KABURINI!
Njoo tujifunze neno la Mungu, neno la kweli pamoja!

11/08/2025

Soma mafundisho yetu ukiwa na furaha maana mafundisho haya yana pumzi halisi ya Mungu wetu aliye hai, Mungu wa kweli

Hivi hawa watu wapo ibadani au msibani
05/07/2025

Hivi hawa watu wapo ibadani au msibani

Ina maana matabibu wanauwezo zaidi ya hao waliopewa mamlaka 😳😳🤣🤣
02/07/2025

Ina maana matabibu wanauwezo zaidi ya hao waliopewa mamlaka 😳😳🤣🤣

04/06/2025

MWANADAMU MBONA NURU IMESHAKUMULIKIA LAKINI WEWE UNANG'ANG'ANA NA GIZA? NJOO TUJIFUNZE NJIA YA KWELI YA KUMUENDEA MUNGU ALIYE HAI

USIMTAFUTE MUNGU KWA KUFATA MKUMBO, K**a unapougua maumivu ya mwili huwa unayahisi mwenyewe, ndivyo ilivyo kwa mahusino ...
23/04/2025

USIMTAFUTE MUNGU KWA KUFATA MKUMBO,
K**a unapougua maumivu ya mwili huwa unayahisi mwenyewe, ndivyo ilivyo kwa mahusino yako na Mungu yatakavyokunufaisha mwenyewe. IPAMBANIE NAFASI YAKO ACHA KUFATA MKUMBO

21/04/2025

MNAOSHEREHEKEA PASAKA; JE PASAKA NI KUFA AU KUFUFUKA KWA YESU?

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255743616086

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuombe Na Yesu Kristo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tuombe Na Yesu Kristo:

Share