Youth Revelation Ministry

Youth Revelation Ministry Old doors never open NEW ways, Revelation on altitude and direction toward GOD helps in NEW WAYS AND

Old doors never open NEW ways, Revelation on altitude and direction toward GOD helps in NEW WAYS AND PROSPERITY, We are Transformed to trasform the world 2 corth 5:17

02/04/2019

God is good.
Have your altitude into HIS direction and discover the difference.

27/02/2019

Is only GOD that chose to see GOOD in what we do (despite good are not that many), never mind about your fellow humans, if they see good in you well and good and if they don't say Halleluyah.

14/09/2017

Shalom! Natamani Sana ifike wakati tukawa na umoja k**a kanisa ili kuvunja madhabahu ya shetani iliyotapakaa na iliyotapakaa hapa duniani, na hili litafanikiwa endapo kila mmoja bila kuangalia tofauti ya dini ya mwenzie atakaa na kujifunza kupitia yeye. K**a ni wakati ambao Jambo hili laitajika ni sasa. Amka kijana tuilinde IMANI (Ufunuo 12:12)

12/08/2017

There is no any name, neither a name of a disease nor a name of a situation that is above the name of JESUS

28/05/2017

KIJANA NA MAJUKUMU YA KESHO
"Kijana ni taifa la kesho", lakini kesho nzuri na yenye mafanikio hujengwa na leo. Atuwezeshae kuishi leo ndiyo aijuaye kesho yetu. Hivyo basi ni dhahiri kuwa leo na kesho ya Kijana na taifa kwa ujumla hutegemea kibali kutoka kwa MUNGU maana ndiye apangaye leo na kesho pia. Yatupasa kumtegemea MUNGU ili Kijana awe na manufaa kwa taifa lake. Na kwa kufanya hivyo taifa litakuwa salama maana MUNGU atatakuwa akiongoza mwenyewe kupitia kijana(mtu anayemtegemea MUNGU) "Mungu asipo ulinda mji, waulindao hufanya kazi bure". Amen

01/04/2017

GEUKA UTAWALE

Kuwa mwana wa Mungu tu haitoshi bali kuwa mwana anayefuata na kutii alikisemacho Baba (Mungu) kupitia NENO
KUTII NA KULIFUATA NENO ndilo geuko ambalo twalipasa kutembea nalo

M***a aligeuka na kumuona Mungu, Hezekia vile vile
Je nasubiri nini kugeuka?

Wafilipi 1 : 6 - Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya ...
17/02/2017

Wafilipi 1 : 6 - Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu;
http://onelink.to/6nfw8y

04/02/2017

Bwana Yesu asifiwe wapendwa

12/01/2017

YOUTH REVELATION MINISTRY��

NIMTAFUTE NANI?
Readings: Amos 5:4
*Maana BWANA awambia hivi nyumba ya Israel, Nitafuteni mimi nanyi mtaishi*

Baada ya maisha hapa duniani kuna kifo, lakini kuishi/uzima upo k**a BWANA alivyoahidi.

Tumtafute BWANA ili ahadi ya UZIMA ipate kibali ndani yetu.

2017 YEAR OF TRANSFORMATION
Let us Transform the world
By: Emmanuel Silvester Ogada
contact: 0659- 326 372

08/01/2017

YOUTH REVELATION MINISTRY��
NJIA INIPASAYO K**A KIJANA
Readings:
Zaburi 119:9
*Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata NENO*

NENO ni uzima pia mwongozo wa maisha yampendezayo Mungu, hivyo kwa kutii na kilifuata Neno twazisafisha njia zetu.

Let us Transform the world
By: Emmanuel Silvester Ogada
contact: 0659- 326 372
B/pepe: [email protected]

02/01/2017

YOUTH REVELATION MINISTRY🌍

Zaburi 124:1 K**a Si Bwana Aliyekuwa Pamoja Nasi, Israel Na Aseme Sasa...

Nimengi tumepitia na tumeyashuhudia, mengine ya kukatisha tamaa, kuvunja moyo LAKINI MUNGU ALIENDELEA KUWA UPANDE WETU.

Nikutakiwe HERI Ya Mwaka mpya wenye baraka na NEEMA YA MUNGU. Anza na Mungu na umalize NAYE ni KWELI NA HAKIKA ATOKUACHA.

Barikiwa sana mwana wa MUNGU

Let us Transform the world
By: Emmanuel Silvester Ogada
contact: 0659- 326 372
B/pepe: [email protected]

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Youth Revelation Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share