Social Gospel Network

Social Gospel Network -is a network of born again volunteer busnesmen or workers all over the world joining together their powers for the purpose of preaching the gospel

OBJECTIVES OF PROJECT
Preaching the gospel(Mathew 28:18-20),
Teaching entrepreneurship education
Providing assistance of clothes, food and building houses(shelters);Matthew 25:31-43
Collect money and materials from different volunteers so that to be sent to poors and pastors -1 cor 16:1-4,
Preparing seminars, crusades and conferences so that to preach the gospel –Matthew 28”19-20
Joint prayer

s- Acts 4:23-31
To establish economic projects for village pastors and believers. To promote joy and hopes to Village believers and pastors

06/06/2019

IVI ULISHAWAHI WAZA KUWA CHANZO KIMOJAWAPO CHA MATATIZO YAKO NI WEWE MWENYEWE,
MAAMUZI YAKO,
MATENDO YAKO,
MANENO YAKO
MTAZAMO WAKO
KUFIKIRIA KWAKO,
MARAFIKI UNAOAMBATANA
NAO, NK NK
CHAKULA UNACHOKULA

Emmanuel kitambo

02/03/2018

Our fisrt question

Ref.John 2:16
[16]And said unto them that sold doves, Take these things hence; make not my Father's house an house of merchandise.

my question is;
Is Jesus trying to teach us not to conduct any business in Church?
If yes..Why bibles,anointed oil,aprons,t.shirts , books are sold in church?
Others selling even during church service"

Yesu alipowatimua wafanyabiashara hekaluni anatufundisha tusifanye biashara kanisani mfano kuuza vitabu, tshet ,mafuta ya upako, biblia, juice ,soda nk? Naombeni Jibu

01/03/2018

*CHAGUA KUNYAMAZA*

MITHALI 11:12 Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza.

MITHALI 17:28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.

Changamoto kubwa tuliyonayo ni kwamba tunataka kuongea kila wakati, tunataka kujibu kila tunachokisikia, kila tunachokiona tunataka kukisemea kitu.

Kuna wakati tunasikia na kukutana na mambo ambayo kiuhalisia moyo unagoma kabisa kunyamaza, unatamani ujibu, unatamani uwaambie watu yale umefanyiwa, unatamani uelezee vile umeumizwa lakini kumbe si kila jambo linatakiwa kuongelewa.

Si kila ukionacho unatakiwa kukisemea kitu. Si kila usikiacho/uambiwacho ni lazima ujibu.

Si kila ufanyiwacho ni lazima umwambie kila mtu.

MUHUBIRI 3:1 Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.

7 Wakati wa kurarua, na wakati wa kushona; Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena;

*Ipo nguvu katika kunyamaza*

Yapo mambo ambayo tunapaswa kuongea, kusema, lakini yapo mambo ambayo tunapaswa kunyamaza kwa ajili ya usalama wa Roho zetu.

Ni kweli kuna wakati unasemwa sana vibaya, unasingiziwa, unatukanwa nk nk, lakini ni lazima ukumbuke kwamba kuna mazingira ambayo hupaswi kujibizana hata k**a umeumia kiasi gani.

*Unajua ni kwanini?*

Ukisemwa vibaya, ukitukanwa, ukidharauliwa lazima moyo utaghafilika, moyo ukighafilika lazima utakuwa na hasira na ghadhabu.

*Ukiwa na hasira katu usitegemee kuwa utajadiliana na mtu kwa hekima.*

Ukiongea utaongea katika uwepo wa hasira, ukijibu utajibu kulingana na kiwango cha hasira ulichonacho.

*Sasa jiulize majibu yanayotoka kutokana na msukumo wa hasira huwa yanakuwaje?*

Mazuri? Ya upole? Ya hekima? Ya unyenyekevu? I am sure jibu ni hapana.

K**a jibu ni hapana that means utaongea vitu vibaya ambavyo ni chukizo kwa MUNGU kwa sababu amesema maneno yetu na yakolee munyu (chumvi).

Sasa badala ya kuongea upumbavu na ukamkosea MUNGU kwanini usichague kunyamaza?

AMOSI 5:3 Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati k**a huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.

Nimekuwa inspired sana na mwanamke Abigaili, ni kweli mumewe alikuwa na makosa, ni kweli alikuwa mlevi, lakini mwanamke huyu alijua ni wakati gani, na mazingira gani alipaswa kuongea na mumewe na alijua aongee nini. Alipomkuta mumewe yupo katika hali ya ulevi, ALINYAMAZA, alijua kuwa huu sio wakati wa kusema jambo lolote.

1 SAMWELI 25:1

Ni vyema sisi pia tukajifunza kusoma mazingira na nyakati na hali za watu zilivyo ili tujue ni wakati gani tujibu, tuongee nini na ni wakati gani tunyamaze

Kilinde kinywa, hakikisha haukiachi kinene mabaya – ZABURI 50:19.

Usipoteze marafiki na kuharibu mahusiano kwa ajili ya kinywa kibovu – MITHALI 11:9.

Ni vyema tukajifunza kujua ni neno gani tukitamka kwa wakati/hali/mazingira gani litakubaliwa –MITHALI 10:32.

ZABURI 19:14 – Bwana na akafanye maneno yetu yakapate kibali mbele zake MUNGU na mbele za wanadamu pia.

1SAMWELI 25:36

Umeumizwa, umekwazwa, umetukanwa, umedharauliwa, KATIKA MAZINGIRA YA HASIRA NA GHADHABU JITAHIDI KUNYAMAZA.

Ni kweli moyo na akili na hisia vinakusukuma kujibu, kubisha nk nk, lakini elewa impact za kujibizana ukiwa na hasira na hizo ni bora ukae kimya.

*"AKUSHINDAE KUONGEA, MSHINDE KUNYAMAZA"*

"Like na kushare page yetu"

26/02/2018

JE KAINI ALIMUOA NANI?

Ufafanuzi by Mwl Proo
0762879363

NDUGU WAPENDWA BIBLIA HAINA UTATA TUKIAMUA KUIELEWA. AGIZO LA MUNGU LA KWENDA KUZAANA NA KUONGEZEKA LILIBEBA VITU NDANI YAKE. WANAZUONI WA BIBLIA HUSEMA ADAMU ALIISHI MIAKA 50 KABLA YA KUUMBIWA MSAIDIZI EVA. WATOTO WATATU WA KIUME WALIOTAJWA MAJINA WA ADAMU YAAN KAINI ,ABELI NA SETHI WALIZALIWA NDANI YA MIAKA 80 YA NDOA YA ADAMU NA HAWA. ADAMU ALIISHI MIAKA 930 KWA UJUMLA,ILA ALIISHI MIAKA 800 BAADA YA KUMZAA SETHI (MWANZO 5:4) KWA HIYO HAPO NYUMA ALIISHI MIAKA 130 AMBAPO UKITOA ILE 50 YA UBACHELA ALIKAA NA HAWA MIAKA 80. WATOTO WA K**E HAWAKUTAJWA KABISA...SABABU YA KUTOTAJWA NI KWA SABABU UANDISHI WA KITABU CHA MWANZO ULIFANYWA MIAKA 2600 TANGU UUMBAJI AMBAPO ILIKUTA TRADITIONALLY WANAWAHESABU WANAUME PEKEE. SASA BAADHI YA JEWISH WRITTINGS ZIMETAJA IDADI YA WATOTO WA ADAMU KUWA NI 20. LAKINI TWENDA TUANGALIE KWA KINA HAYA MAMBO YAKOJE. KWENYE DEMOGRAPHIC STUDIES ZIKO THEORIES OF POPULATION ZINAZOONESHA KUWA KWA SASA HAWA WANAWAKE WANAOISHI MIAKA HII MICHACHE MPAKA KUFIKIA KWENYE UKOMO WAO WA KUWEZA KUSHIKA MIMBA(MENOPAUSE) WANAUWEZO WA KUZAA WATOTO 42;LAKINI KUMBUKA UWEZO WA KUZAA(FERTILITY) YA WAKATI HUO ILIKUWA NI KUBWA SANAA KWA HIYO TAKWIMU ZINAONESHA ADAMU NA HAWA KTK MIAKA 800 WALIYOISHI BAADA YA KUMZAA SETHI WANGEWEZA KUZAA WATOTO 1100 (KWA MIEZI 9 YA MTOTO KUKAA TUMBONI) . SASA KAINI ALIENDA KUISHI NCHI YA NODI,KITHIOLOJIA NODI SIO NCHI LAKINI MATAMSHI HAYO KIEBRANIA YANATAJA TU MAHALI ALIPOENDA KAINI ALIPOFANYWA MTORO NA NENO HILO MAANA YAKE NI KWENDA KULALA AU KUTANGATANGA(NOD MEANS THE LAND OF THE WANDERER) NA ILIKUWA MAILI CHACHE SANA MASHARIKI MWA EDEN (MWANZO 4:16) NA BIBLIA HAIKUITAJA TENA ARDHI HIYO. JIBU LA WAZI NI HILI KAINI ALIMUOA DADA-MDOGO WAKE KTK MOJA YA BINTI ZA ADAMU. JARIBU KUFIKIRI ADAMU AKIWA NA MIAKA 130 NA MKEWE MIAKA 80 WALIMZAA SETHI...SASA KUANZIA HAPO HADI WALIPOFIKA LET SAY ADAM MIAKA 700 NA HAWA MIAKA 650 WALIZAA WATOTO WANGAPI NDANI YA HIYO MIAKA 570? INGAWA JUMLA NI MIAKA 800 WALIISHI BAADA YA KUZALIWA SETHI .NI WAZI KUWA ADAMU AKIWA NA MIAKA 700 KAINI HUKO ALIKO ALIKUWA NA MIAKA ZAIDI YA 600 NA LAZIMA ADAMU ALIKUWA NA MABINTI WENGI WENYE MIAKA KATI YA 25 HADI 570 TENA WALIOSAMBAA SASA UKWELI WA KUWA NODI ILIKUWA MAILI CHACHE SANA NA UKWELI KUWA FERTILITY RATE ILIKUWA SO HIGH HATUWEZI KWEPA UKWELI KUWA KAINI ALIOA DADA MDOGO WAKE.

NB:
MAKATAZO YA INCEST(FORBIDDEN SEXUAL RELATIONS) UHUSIANO WA TENDO LA NDOA KWA NDUGU WA KARIBU (Walawi 19:1ff) YALITOLEWA KWA ISRAEL WAKIWA CHINI YA UTAWALA WA MUSA KATI YA MWAKA 1440 -1400 BC YAANI KARNE YA TANO NA SITA NA TAYARI MABABA ZETU WALIKUWA WAMEISHI KARNE 26 BILA TOKA ADAMU HADI NUHU HADI IBRAHIMU HADI KUTOKA UTUMWANI HAIKUWA DHAMBI NDIO MAANA WATU K**A WAKINA YAKOBO WALIOA WATOTO WA WAJOMBA ZAO TENA ALIOA LEA NA RAHEL WALA HAIKUHESABIWA KUWA NI HATIA;ILA DHAMIRI ILIWASUTA HASA K**A MTU ALISHIRIKI HILO TENDO LA KIRUMI MAHALI AMBAPO BABA YAKE AMEGUSA(RUBENISM);NA MUNGU ALIJIFUNUA KWAO KWA UFUNUO WA HIVYO MDOGO ILA SASA TUPO KWENYE MAXIMUM REVELATION (Matendo 17:30 ).KWA HIYO NISEME BIBLIA IPO CLEAR KABISA

Mwl Proo
0762879363

[email protected]

Gospel for changing the world. Watu wengi wanajiunga na Yesu kijijini na Mjini. wasomi wanajiunga, wakulima wanajiunga, ...
07/06/2017

Gospel for changing the world.
Watu wengi wanajiunga na Yesu kijijini na Mjini. wasomi wanajiunga, wakulima wanajiunga, wavuvi, wafugaji nao na wanasayansi wanaendelea kumtangaza Yesu. UMEBAKI WEWE.
Ufunuo 21:7_8.

THE WORLD IS HEADING TO AN ENDThese few things justify the world is approaching to an end.only salvation will save us. I...
16/05/2017

THE WORLD IS HEADING TO AN END
These few things justify the world is approaching to an end.
only salvation will save us. If you hv not receaved Jesus, decide now, the right time is now.John 3:16-18

Dear beloved comment ,share and like our page.So that together we can minister our Almighty God.
15/05/2017

Dear beloved comment ,share and like our page.So that together we can minister our Almighty God.

TUTAONANA NAO SIKU ILETaifa la Tanzania hivi karibuni lilipata msiba mkubwa kwa kupoteza nguvu kazi ya kesho. Watoto 32 ...
13/05/2017

TUTAONANA NAO SIKU ILE

Taifa la Tanzania hivi karibuni lilipata msiba mkubwa kwa kupoteza nguvu kazi ya kesho. Watoto 32 wanafunzi wa Luck vicent walipoteza maisha kwa ajari mbaya ya bus.
Kila mmoja alionekana kuguswa na msiba ule kwa namna moja. Lakini jambo ambalo mimi lilinifanya kuteseka moyoni lilipokuja swali hili ,kwamba je siku ile itakuwaje kwao, tumewasikitikia sana na kuwaombea walale pema peponi? Je ni kweli tutaonana nao siku ile ya mwisho?
Swali hili halikuwa kwao tu, hata kwangu pia ,nikakumbishwa kuwa ipo siku lazima nitakufa, lakini itakuwaje siku ile?
Ni kweli kabisa wanadamu wote tunajua kuwa IPO siku tutakufa, ingawa wapendwa wetu watahuzunika kwa kutukosa kutuona kwenye ulimwengu huu, Lakini pia ,wakati mwingine huwa tunajisahau na kuona kuwa IPO siku tutaondoka katika dunia hii.

Lakini jambo zito ni kwamba huwa tunakumbuka kuwa ,ingawa kila MTU atakufa, ila hatukumbuki kuwa baada ya kifo ni HUkUMU.
Hili ni swali lilinalotakiwa lisumbue vichwa vyetu,kwani Siku ile ni ya Kutisha sana.
Siku hiyo ya mwisho mambo kadhaa yatatokea.
1.Yesu atatushuka na malaika zake na kuhukumu ulimwengu wote..Mathayo25:40
2.Wale walimkataa, watatupwa katika ziwa liwakalo moto..ufunuo21:7. Hapo ndipo penye kilio na kusga meno, ni mateso ya milele, funza atawala milele,hakuna raha tena, Mali za dunia hazitakuwa na manufaa tena,wala maarifa hayatasaidia.
3.Mbingu na nchi zitatoweshwa ,na kutokezwa mbingu mpya na nchi mpya na mji mpya wa Yerusalemu...ufunuo21:1-3.Hapa ndipo patakuwa ni raha ya watakatifu ,waliotukana ,walionwa washamba, watakuwa wajanja milele.Ni SIKU ILE ,tunaingojea.tutamwona Yesu , tutamwona baba USO kwa USO.atatufuta machozi. TUtakaa naye milele.
4.Na jambo la mwisho la kusikitisha ni kutengana milele...hapa namaanisha k**a ww na ndg au rafiki yako mmoja wenu akaenda jehanamu na mwingine peponi basi hamtaonana tena milele. Hivi sasa tunalotumaini la kuwaona ndg zetu na rfk waliotutangulia siku ya mwisho . Ni jambo la kuhuzunisha mno kuwa k**a hatutaenda njia moja,basis tutapotezana milele,hapo misali ya "Milima haikutani ila ,binadamu hukutana haitafanya kazi". Tumekuwa tukihuzunika kidog tu kwa tuwapendao wanaposafiri kwa miaka kadhaa, lakini hapo itakuwa milele.

Ndgu zangu tujitahidi sote tuingie mji ule ulionakishiwa na almasi,dhahabu n.k

SIKU ILE

Social Gospel Network Organization(SGNO)

CCBRT     TOURMak**anda tuliingia pale kutembelea wagonjwa ,kugawa mahtaji k**a sabuni, biscuit,juice, n.k Humo tulikuta...
07/05/2017

CCBRT TOUR

Mak**anda tuliingia pale kutembelea wagonjwa ,kugawa mahtaji k**a sabuni, biscuit,juice, n.k Humo tulikutana na watu wengi toka sehemu mbalimbali wakiwemo toka kwetu Mwanza, watu walifurahi,walifarijika sana walitamani twende tena.
Kwahiyo wadau wainjili, uinjilisti si tu kuhubiri mikutanoni bali hata kuwaona wagonjwa ni uinjilisti mkubwa pia.

Emmanuel Kitambo
SGNO

LoVE REIGN*Darkness cannot drive out darkness but light can do. Hate cannot drive out hate but Love can do.*Love is a st...
05/05/2017

LoVE REIGN

*Darkness cannot drive out darkness but light can do. Hate cannot drive out hate but Love can do.
*Love is a strongest force which can transform enemity into friendship

Emmanuel Kitambo
SGNO.
Like and share our page so that these msg reach many people. Thank you and be blessed

THE TRUE LOVE*But whose has this world's good, and seeth his brother have need ,and shutteth up his bowel of compassion ...
02/05/2017

THE TRUE LOVE
*But whose has this world's good, and seeth his brother have need ,and shutteth up his bowel of compassion from him, how dwellth the love of God in him? My little children, let us not love in word,neither in the tongue; but in deed and in truth*1John 3:17-18

*If you can not feed a hundred people, then feed just one* Mother Teresa.

Emmanuel Kitambo
Social Gospel Network Organization(SGNO)

Inawezekana kabisa kuwasaidia wachungaji wa vijijini(Remote Area)Shida nini?*Wachungaji wanachangamoto kubwa ya kiuchumi...
30/04/2017

Inawezekana kabisa kuwasaidia wachungaji wa vijijini(Remote Area)

Shida nini?
*Wachungaji wanachangamoto kubwa ya kiuchumi, washirika ni masikini, hawawezi kuwatunza wachungaji.
*Washirika ni masikini hawawezi kutoa fedha kujenga nyumba ya Bwana, HVO wanaabudu katika mazingira mabaya.
hapo chini baadhi tu ya sample za makanisa vijijini

hivo ndugu tulalo jukumu LA kusaidia kuboresha maisha ya wachungaji na nyumba ya kuabudia.

tunawezaje?
1.Kwa kutoa fedha ,au material k**a bati,mbao n.k
2.K**a huna fedha ,mavazi yako yanaweza geuzwa fedha kwa njia ya minada.Na njia nyingine unazozifahamu

Mungu atakubariki mno kwa kumjali.kumbuka unapojenga kanisa unakuwa unamgusa Bwana directly.
unafikiri atakuacha hvi hvi tu bure?
muulize Mfalme Suleiman atakuambia.1Korintho 16:1-2, 2Korintho 9:7-15

Emmanuel Kitambo
Social Gospel Network Organization (SGNO)

Like na kishare page hii ndugu, lengo ni Kristo atangazwe maana ni nyakati za watakatifu kuelekea Jerusalem mpya.

Address

Box 1990, Mapambano, Mwenge
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Social Gospel Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share