Elibarikieli Ministries

Elibarikieli Ministries This is the official page for Ecfanacoh Ministries

09/03/2025
MAOMBI Mungu  hasikilizi maombi na wala hajibu maombi, k**a anajibu mbona hakumjibu YESU. Maombi yanaanzia wapi? Je, tun...
12/02/2025

MAOMBI
Mungu hasikilizi maombi na wala hajibu maombi, k**a anajibu mbona hakumjibu YESU. Maombi yanaanzia wapi? Je, tunaomba wapi?.

Unajua ni mahali au muda gani tunatakiwa kuomba?

Huwa tunaomba wakati tupo kimya, kwa kupitia hisia au mawazo. Sasa wakati huo inategemea unamuomba nani. Unaomba kwa MUNGU au kwa shetani.

Maombi sio lazima, lazima ni vile unavyofikiri ndani. Nini unafikiri ndio maombi na ndio hayo yanayojibiwa.

Unapofikiri magonjwa sana, kushindwa au hali yoyote ile, hivi vinakupata hata k**a ukiomba. Unachowaza au unachofikiri ndio cha muhimu sana na cha kuzingatia maana ndio maombi yako.

~Joshua David.

Address

Tabata Kisukuru (Maji Chumvi)
Dar Es Salaam

Telephone

+255710057115

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elibarikieli Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share