05/05/2026
đź’Ť KARIBUNI IBADA YA WANANDOA đź’Ť
Ndugu wapendwa,
Kwa furaha kubwa tunakukaribisha wewe na mwenzi wako kwenye Ibada Maalum ya Wanandoa yenye kichwa cha somo:
🔥 “MAJIRA YANGU YA UREJESHO” 🔥
Ni wakati wako na wa ndoa yako kurejeshwa!
👉 Njoo ujifunze na upokee:
✨ Upendo mpya ndani ya ndoa
✨ Uelewano na mawasiliano bora
✨ Uponyaji wa majeraha ya ndani
✨ Nguvu ya kusimama pamoja katika changamoto
📖 “Bwana atarejesha yale yote yaliyopotea…”
Usikose majira haya ya kipekee ya Mungu kwa ndoa yako.
Mwalike na mwenzako — urejesho unaanza na ninyi wawili!
🙏 Tunawaombea na tunawasubiri kwa shauku kubwa.
đź’’ Karibuni sana!
👉Hii ni kwa ajili ya wote kwenye groupe whatsapp,
ngisi ya kujiunga link hii👇👇itakupeleka moja kwamoja kwenye goup letu
https://chat.whatsapp.com/KL20yY6NH2FFkEZtW2DIoo?mode=gi_t