Free Souls in Christ

Free Souls in Christ Free Souls in Christ Intl (FSC) is a Christian Soul winning ministry working with youths across the country.

Members of this ministry come from different churches, united by their great passion in souls winning for Christ.

"Once a son is always a son"Powerful sermon from   Minister Brighton during our June 2026 fellowship service, which was ...
17/06/2026

"Once a son is always a son"
Powerful sermon from Minister Brighton during our June 2026 fellowship service, which was held on 14th.

1 Yohana 2:1
[1]Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na k**a mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,
My little children, these things write I unto you, that ye sin not. And if any man sin, we have an advocate with the Father, Jesus Christ the righteous:

Karibu tuimarishe ushirika katika Yesu Kristo Bwana wetu, huku tukiweka kando tofauti za kidini na madhehebu kwa kumuinu...
12/06/2026

Karibu tuimarishe ushirika katika Yesu Kristo Bwana wetu, huku tukiweka kando tofauti za kidini na madhehebu kwa kumuinua Yesu Kristo na mapenzi yake kwa kanisa!

Oparesheni 'OKOA YUSUFU WA ARIMATHAYA' 31/05/2026  04:30pm hadi 06:00pmYohana 17:17 "Uwatakase kwa hiyo Kweli. Neno lako...
31/05/2026

Oparesheni 'OKOA YUSUFU WA ARIMATHAYA' 31/05/2026 04:30pm hadi 06:00pm

Yohana 17:17 "Uwatakase kwa hiyo Kweli. Neno lako ndio Kweli"

Hali: Imefanikiwa💯 ✅
Waliofikiwa: Mamia ya Magari
Kikosi: Watu wa KILINDINI

Imekuwa ya tofauti na baraka mno.. tumemfurahia Yesu aliyekuwa akitenda kazi nasi licha ya zoezi hili kuwa geni kwetu. Wadada na wakaka wamejitoa licha ya hatari za barabarani na kukutaliwa ila Yesu amepokelewa sana.

Vipeperushi vilikuwa na ujumbe wa maneno ya Mungu ya kuwasogeza watu karibu na Kristo pia vilikuwa na sala ya kuamini. Viliombewa na kutamkiwa maneno ya uzima basi pasi na shaka viligeuka kuwa UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU KWA WATU WOTE WALIO VIPOKEA.

Karibu kuungana nasi katika hizi harakati na Mungu akubariki. Phone: +255613725754


We have been called not to sit back and remain comfortable, but to go into the world, preach the Gospel, and bring lost ...
29/05/2026

We have been called not to sit back and remain comfortable, but to go into the world, preach the Gospel, and bring lost souls back to the Kingdom of God, because every soul matters before Him.

11/05/2026

"Kukutana na Mungu ndiko kuna tafsiri majira ya mwanadamu"
FSC Vice President Pastor katika Mei 10, 2026




Evangelism at the great Kisutu Market Dar es Salaam, on May 3, 2026. We are grateful and joyful for men and women who ga...
04/05/2026

Evangelism at the great Kisutu Market Dar es Salaam, on May 3, 2026. We are grateful and joyful for men and women who gave their lives to Christ during this special outreach

Soul winning is not about filling the churches, it's not even about pleading poor souls to become members of certain congregations and make them religious. It's a burning passion to share the love that changed our lives. We carry a message of hope for the broken, freedom for the bound, and light for those in darkness. No matter your past or struggles, grace is still available and Jesus still saves. Soul winning is a mission of love, a call to transformation, and a reminder that no one is forgotten.

Baadhi ya viongozi wa huduma ya   katika moja ya matukio ya furaha yanayohusu watendakazi wenzetu.Kutoka kulia ni Katibu...
26/04/2026

Baadhi ya viongozi wa huduma ya katika moja ya matukio ya furaha yanayohusu watendakazi wenzetu.
Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa kwanza wa FSC , Mwenyekiti wa Board of Trustees , Rais wa FSC , na Mkurugenzi wa Outreach Ministries

Rais wa  Pastor Ibrahimu Mkulula  alipomtembelea Makamu wake  nyumbani akiwa na watendakazi wenzake Dada Tumwamini, Maka...
24/04/2026

Rais wa Pastor Ibrahimu Mkulula alipomtembelea Makamu wake nyumbani akiwa na watendakazi wenzake Dada Tumwamini, Makamu Mkurugenzi wa idara ya mavazi na Mr Japhet Julius Makamu Katibu Mkuu. Hufuma ya inamshukutu Mungu kwa neema yake inayowaweka pamoja watendakazi k**a familia yenye upendo hata tuwapo nje ya majukumu ya kihuduma.

Umemwamini Yesu kuwa mwokozi na Bwana wa maisha yako?
10/04/2026

Umemwamini Yesu kuwa mwokozi na Bwana wa maisha yako?

29/03/2026

Then Jesus appeared again today | Kisha Yesu akaonekana tena leo Mbezi Louis stendi akiwa na watu wa KILINDINI 🔥

Katika Outreach yetu ya March 29, 2026 tumeshuhudia watu wengi wakimpokea Yesu Kristo, huduma za watu zikirejeshwa kwa nguvu, vipawa na karama za watu zikihuishwa. Hakika tulimwona Yesu katika namna hatukuwahi ona ndani ya jiji la Dar es Salaam. Sifa zote na utukufu apewe Bwana!!🙌🙏

Address

Azikiwe/Jamhuri Street, MUA House Plot No. 719/11 First Floor
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Free Souls in Christ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share