HUMU Fellowship

HUMU Fellowship Huduma Ya Uinjilisti Na Maombi Ulimwenguni

Ibada inaendelea   watu wa madhehebu yote wanakaribishwa. Mungu akubariki
24/03/2024

Ibada inaendelea watu wa madhehebu yote wanakaribishwa. Mungu akubariki

Karibu Huduma ya Uinjilisti na maombi ulimwenguni.. 🔥 Wakristo wamwaminio Yesu Kristo kutoka madhehebu yote wanakaribish...
18/03/2024

Karibu Huduma ya Uinjilisti na maombi ulimwenguni.. 🔥 Wakristo wamwaminio Yesu Kristo kutoka madhehebu yote wanakaribishwa

Usikose jumapili hii, kimara Korogwe, HUMU Fellowship
13/03/2024

Usikose jumapili hii, kimara Korogwe, HUMU Fellowship

Jumapili hii ilikua siku ya baraka na uwepo wa Mungu ulishuka kwa viwango vingine. Tulikua na mtumishi wa Mungu, mwalimu...
14/11/2023

Jumapili hii ilikua siku ya baraka na uwepo wa Mungu ulishuka kwa viwango vingine. Tulikua na mtumishi wa Mungu, mwalimu Peter Madili aliyefundisha kuhusu Kumcha Mungu. Karibu jumapili ijayo bila kukosa. Mungu akubariki!

Karibu siku ya kesho ijumaa ya tarehe 13/10 siku ya maombi. Njoo uombee nchi, familia na huduma ambayo Mungu ameiweka nd...
12/10/2023

Karibu siku ya kesho ijumaa ya tarehe 13/10 siku ya maombi. Njoo uombee nchi, familia na huduma ambayo Mungu ameiweka ndani yako! Mungu akubariki.

Follow

Jifunze Jinsi ya Kumkataa Shetani. . .
05/09/2023

Jifunze Jinsi ya Kumkataa Shetani. . .

Address

Kimara Korogwe, Near KKKT Lutheran Church
Dar Es Salaam

Opening Hours

Friday 16:00 - 19:00
Sunday 14:00 - 18:00

Telephone

+255713522539

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HUMU Fellowship posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to HUMU Fellowship:

Share