EAGT Gethsemane Temple

EAGT Gethsemane Temple 1 Wakorintho 1:18
"Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi,bali kwetu sisi tunaookolewa

Marko 2:4-54 Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kui...
20/01/2019

Marko 2:4-5
4 Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza.
5 Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
MAELEZO: Yesu ni Mungu kamili mwenye uweza wa Kusamehe dhambi na kuponya magonjwa na udhaifu wa kibinaadam, kimbilia kwa Yesu uwe salama.

02/11/2018

Injili ya Yesu ina nguvu ya kubadili mitazamo ya kibinaadamu

Mpigi magohe kwa YesuTunaendelea n mkutano tangu jumapili na tunahitimisha kesho. Karibu sana..
17/02/2018

Mpigi magohe kwa Yesu
Tunaendelea n mkutano tangu jumapili na tunahitimisha kesho. Karibu sana..

Ni ibada ya ndoa kati ya Daniel Lameck Nyanda na bi Christina Lazaro Msengi
15/10/2017

Ni ibada ya ndoa kati ya
Daniel Lameck Nyanda na bi Christina Lazaro Msengi

Ni kundi la baadhi ya watoto wa kanisani kwetu ambalo Mungu amenipa mimi, Evangelist Mwambakila k**a mwalimu wao.Miongon...
01/10/2017

Ni kundi la baadhi ya watoto wa kanisani kwetu ambalo Mungu amenipa mimi, Evangelist Mwambakila k**a mwalimu wao.
Miongoni mwao kuna Wachungaji, wainjilisti, waalimu wa neno la Mungu, mitume na manabii... sawa na Waefeso 4:11
Kwa mkono wa bwana Yesu tutafika kanaani.
Kutoka 14:13

Kwa jina la Yesu kristo tu washindi siku zote...
23/09/2017

Kwa jina la Yesu kristo tu washindi siku zote...

Mwanzo 16:11"Malaika wa bwana akamwambia,tazama! wewe una mimba,utazaa mwana wa kiume,nawe utamwita jina lake Ishmaeli,m...
22/09/2017

Mwanzo 16:11
"Malaika wa bwana akamwambia,tazama! wewe una mimba,utazaa mwana wa kiume,nawe utamwita jina lake Ishmaeli,maana BWANA amesikia kilio cha mateso yako."

Kuna watu wanajiona walizaliwa kwa bahati mbaya..
Wapo wengine wanajiona k**a walizaliwa ili wateseke duniani na wengine kupitia shida zao wanaona Mungu amegeuza uso wake kwao yaani hawatazami tena...
HAYO NI MAWAZO YA KIBINAADAMU.
MUNGU ANAKUWAZIA MEMA SIKU ZOTE..
Soma
Isaya 43:2
"Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito,haitakugharikisha;uendapo katika moto,hautateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.

Zaburi 150"Haleluya...Msifuni Mungu katika patakatifu pake;Msifuni katika anga la uweza wake...Ni wakati wa sifa ndani y...
28/05/2017

Zaburi 150
"Haleluya...
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake...
Ni wakati wa sifa ndani ya EAGT Gethsemane Temple...

ISAYA 61:1" Roho ya Bwana Mungu  I juu yangu;kwasababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema amenit...
20/01/2017

ISAYA 61:1
" Roho ya Bwana Mungu I juu yangu;kwasababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema amenituma kuwaganga walio vunjika moyo,kuwatangazia mateka Uhuru wao,na hao walio fungwa habari ya kufunguliwa kwao"

12/01/2017
YOHANA 15:7       " Ninyi mkikaa ndani yangu,na maneno yangu yakikaa ndani yenu,ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa."KW...
04/01/2017

YOHANA 15:7
" Ninyi mkikaa ndani yangu,na maneno yangu yakikaa ndani yenu,ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa."
KWANZA tukae ndani ya Mungu
PILI neno la Mungu likae ndani yetu
TATU ndipo tuombe nasi tutendewe na Mungu.
wanadamu hatutaki kukaa ndani ya Mungu ila tunataka tu Mungu atutendee yale tunayotaka, hiyo sio kanuni ya Mungu.

03/01/2017

ISAYA 41:10-11
"(10) Usiogope,kwa maana mimi ni pamoja nawe;usifadhaike,kwa maana mimi ni Mungu wako;nitakutia nguvu,naam,nitakusaidia,naam,nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
(11) Tazama wote walioona hasira juu yako watatahayarika na kufadhaika;watu washindanao nawe watakuwa si kitu,na kuangamia."

Address

85157
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Gethsemane Temple posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share