Boanerges International Ministries

Boanerges International Ministries Not only we serve the true God but also we serve the real God.

26/09/2018

Najua kuna mambo mengi umemuomba Mungu katika maisha yako na bado haujapata majibu, lakini ili majibu hayo yatokee ni lazima uanze kuyaona ndani ya moyo wako kwamba yametokea hata k**a hayajatokea.
.

14/07/2018

Yasiyowezekana kwa wanadamu, kwa Mungu yanawezekana.

25/03/2018


Najua unataka kuja kuwa mwimbaji maarufu, mfanyabiaahara maarufu, upate kazi nzuri, kipaji chako kionekane, uwe na pesa n.k.
Lakini haya yote hayawezi kuja kutokea bila ya kuwa na nguvu isiyoonekana juu yako inayokufanya ufanikiwe.
Nguvu hii ndio inaitwa nyota ya maisha yako.
Kinachoniuma ni kwamba kuna watu ambao kazi yao ni kucheza na nyota za watu.
Natangaza ukombozi juu ya nyota yako.
K**a unaamini sema kisha .
Leo ibada saa kumi na nusu jioni hapa magomeni kagera 0715-443531.

27/02/2018

isaya 53:5, kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Pokea uponyaji katika kila eneo la maisha yako.

Address

Www. Boanerges Ministries. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boanerges International Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share