FPCT KAWE MJI MPYA

FPCT KAWE MJI MPYA Kanisa la FPCT Kawe Mji Mpya ni sehemu ya ibada na ushirika kwa watu wote wanaomtafuta Mungu kwa kweli na roho. Tunakaribisha watu wa rika zote

Lengo letu ni kuhubiri Injili ya Yesu Kristo, kukuza imani, na kujenga jamii yenye upendo, umoja na matumaini.

16/08/2026
16/08/2026

🌸 SIKU YA MWANAMKE – IBADA YA JUMAPILI 🌸
β€œWanawake watangazao habari ni jeshi kubwa.”
πŸ“– Zaburi 68:11
Tunawakaribisha wanawake, familia na kila mmoja wetu kushiriki katika ibada hii maalum ya Siku ya Mwanamke. πŸ™πŸ’›
Njoo tushirikiane katika sifa, kuabudu, Neno la Mungu na maombi, tukimtukuza Mungu kwa kazi yake katika maisha yetu. πŸ™ŒπŸ”₯
⏰ Ibada ya 1: 02:30–4:00 Asubuhi β€” Kiingereza
⏰ Ibada ya 2: 04:00–12:30 Mchana β€” Kiswahili
πŸ“ FPCT Kawe Mji Mpya
πŸ’› Karibu sana! Usikose ibada hii ya baraka.

30/06/2026

Utumishi mzuri katika kizazi cha sasa lazima kuwa na Maarifa ya kutosha

17/06/2026

Alikufa ili sisi tuishi. Msalaba ni ushahidi wa neema ya Mungu
✍️✍️

13/06/2026

Faida za kumtii Mungu...πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

FPCT KAWE MJI MPYA

13/06/2026

The presence of God.....

19/05/2026

πŸ”₯ PENTEKOSTE YA UREJESHO β€” SIKU YA PILI πŸ”₯
Baada ya uwepo wa Mungu wenye nguvu siku ya kwanza jana, leo tunaendelea tena na kile ambacho Mungu ameanza kutenda.
K**a hukufika jana, leo usikose! Na k**a ulifika, njoo tena kwa sehemu yako ya urejesho.
πŸ“– β€œNami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige…”
β€” Yoeli 2:25
Leo tunakuakaribisha katika: πŸ™ Maombi ya nguvu
πŸ”₯ Maombezi
πŸ“– Neno la Mungu
✨ Urejesho na faraja katika uwepo wa Roho Mtakatifu
πŸ“ FPCT Kawe Mji Mpya – Dar es Salaam
πŸ•˜ Kipindi cha Kwanza: Saa 9:00 Alasiri
πŸ•§ Kipindi cha Pili: Saa 12:30 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku
Usikubali kupitwa na kile ambacho Mungu anakifanya katika msimu huu.
Njoo na mwenzako, kuna neno na urejesho wako unakusubiri πŸ™ŒπŸ”₯
πŸ“ž 0622029078 / 0748127486

09/05/2026

πŸ”₯ PENTEKOSTE YA UREJESHO πŸ”₯
β€œNami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige…” β€” Yoeli 2:25

Karibu katika Semina kubwa ya Neno la Mungu, Maombi na Maombezi yenye nguvu za Roho Mtakatifu.

Ni wakati wa kurejeshwa, kuponywa, kufarijiwa na kuona mkono wa Mungu ukitenda tena katika maisha yako.

πŸ“… 18 – 24 May 2026
πŸ“ FPCT Kawe Mji Mpya – Dar es Salaam
πŸ•˜ Saa 9:00 Alasiri
πŸ•§ Saa 12:30 Jioni hadi 2:00 Usiku

πŸ™ Maombezi kwa wenye shida
πŸ”₯ Uwepo wa Roho Mtakatifu
πŸ“– Neno la Mungu lenye kuleta urejesho

Wote mnakaribishwa!
πŸ“ž 0622029078 / 0748127486

Address

Kawe Mji Mpya
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT KAWE MJI MPYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share