Efatha church kiluvya

Efatha church kiluvya we bring the world to jesus

1 YOHANA 3:1[1]Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa saba...
10/12/2023

1 YOHANA 3:1
[1]Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.
Behold, what manner of love the Father hath bestowed upon us, that we should be called the sons of God: therefore the world knoweth us not, because it knew him not.

Hili pendo limekufanya wew kuwa mwana kwake. Na kwasababu ya hili pendo unapata kuchichukuwa zile baraka za uwana kutoka kwa baba mungu
Na asiri ya ya hili pendo lililokuu ni mu mungu mwenyewe .
Pendo hilo la mungu limefanya/ linakupa nafasi ya kuomba lolote utakalo ukapatiwa na kujibiwa.

Pendo hili linakupa uthamani mbele za mungu na kukufanya uwe bora kwa watu.......
Katika hili pendo mungu amemtoa mwana wake wa peekee ili aje sisi tupate kupona na kusamehewa deni zetu YOHANA. 3:16
[16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Usiuruhusu moyo yako uwe na kiburi kwamaana kiburi kitakuondoa mapema duniani Ezekieli 28:16-17[16]Kwa wingi wa uchuuzi ...
03/12/2023

Usiuruhusu moyo yako uwe na kiburi kwamaana kiburi kitakuondoa mapema duniani Ezekieli 28:16-17
[16]Kwa wingi wa uchuuzi wako watu walikujaza udhalimu ndani yako, nawe umetenda dhambi; kwa sababu hiyo nimekutoa kwa nguvu katika mlima wa Mungu, k**a kitu kilicho najisi; nami nimekuangamiza, Ewe kerubi ufunikaye, utoke katika mawe hayo ya moto.
By the multitude of thy merchandise they have filled the midst of thee with violence, and thou hast sinned: therefore I will cast thee as profane out of the mountain of God: and I will destroy thee, O covering cherub, from the midst of the stones of fire.
[17]Moyo wako uliinuka kwa sababu ya uzuri wako; umeiharibu hekima yako kwa sababu ya mwangaza wako; nimekutupa chini, nimekulaza mbele ya wafalme, wapate kukutazama.
Thine heart was lifted up because of thy beauty, thou hast corrupted thy wisdom by reason of thy brightness: I will cast thee to the ground, I will lay thee before kings, that they may behold thee.

Kwahiyo kiburi hakifai na kiburi ni roho ya mpinga kristo.Na kiburi huwa kinaambatana na jeuri ndani yake ikiwemo na hasira ndani yake
Kiburi ndicho kinamnyima mtu kufikia ustawi na mafanikio ya huyo mtu kwasababu kiburi humfanya mtu ajikweze
Mwenye kiburi hafai mbele za mungu.Yeremia 50:32
[32]Na mwenye kiburi atajikwaa, na kuanguka, wala hapana atakayemwinua; nami nitawasha moto katika miji yake, nao utawala wote wamzungukao pande zote.
And the most proud shall stumble and fall, and none shall raise him up: and I will kindle a fire in his cities, and it shall devour all round about him.

Na katika vile vitu ambavyo mungu huwa anavichuki na havipendi ni pamoja na kiburi . Maana kiburi ni moja ya chukizo mbele za mungu.

24/11/2023

Kiri maneno haya

Ijumaa yako imebarikiwa na bwana maana yeye aliye kufanya upumue ameibariki. Say ameen
24/11/2023

Ijumaa yako imebarikiwa na bwana maana yeye aliye kufanya upumue ameibariki. Say ameen

22/11/2023
Mateso sio mtu kuwa na magonjwa tu bali hsta udhaifu ni matokeo ya mateso kwenye hakili ya mtu.Na hata umaskini unatokan...
27/08/2023

Mateso sio mtu kuwa na magonjwa tu bali hsta udhaifu ni matokeo ya mateso kwenye hakili ya mtu.Na hata umaskini unatokana na mateso ya hakili yatokanayo na ibirisi,. Kwasababu hakiri inapoteseka usitegemee kuona ustawi na mafanikio ya huyo mtu katika maisha yake,
• Unapokutana na majaribu ibirisi anatumia hilo jaribu kutesa hakiri yako na kuiba uwezo eako wa kufikiri ili usiweze kufanya jambo la maana kwako.
Kwahiyo usiruhusu ibirisi kutesa hakiri yako kupitia jaribu unalokutana nalo.Kwamaana jaribu linapokuja jua kwamba shetani yupo kazini ili atese hakiri yako.
• Na hakiri yako inapoteseka ndipo unakutana na umasikini tele kwasababu hakuna utakachokifanya kikaenda sawa hata siku moja.
Ili uweze kushinda jaribu na kufanya shetani asitese hakili yako ni lazima uvae siraha zote za mungu.Waefeso 6:11-13
[11]Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
Put on the whole armour of God, that ye may be able to stand against the wiles of the devil.
[12]Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
[ ] For we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places.
[13]Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
[ ] Wherefore take unto you the whole armour of God, that ye may be able to withstand in the evil day, and having done all, to stand.

09/01/2023

Katika mwaka huu wa sifa mungu ameachia nguvu yake

Efeso 3:20     Mungu ameruhusu nguvu yake ambayo itakusaidia katika mwaka huu wa sifa .Na hii nguvu ndiyo itakayokusabab...
08/01/2023

Efeso 3:20
Mungu ameruhusu nguvu yake ambayo itakusaidia katika mwaka huu wa sifa .Na hii nguvu ndiyo itakayokusababisha wewe maisha yako yawe mepesi , yaani hautafanya kitu alafu uone mbona kila ninachokifanya kina uzito .
Tunapokuwa katika uwepo wa mungu tunapokea udhihirisho wa kipekee. Na tunapopokea ule udhihirisho wa kiungu ,tunasema tumekutana na nguvu ya mungu na ile nguvu ya mungu ndiyo itakayokuchukua wewe kwenye mwaka huu wa sifa na itakupeleka mahali ambapo pana utukufu.

Zaburi 91:1-2.
Mungu ameketi mahali pa juu palipoinuka na nguvu zake ndio zitakazotufikisha mbele zake

Kwakuwa aibu yetu inakwenda kuviringishwa ni lazima niende mbele za mungu kwa ujasiri nikiwa na imani ya kwamba mwaka huu lazima nione niluyokuwa nayatarajia.
Ebrania11:1

Ili upokee nguvu na udhihirisho toka kwa mungu ni lazima utunze utakatifu wala usiruhusu dhambi ya aina yoyote ile
Yohana 1:14.
Mwaka huu hakutakuwa na kushindwa wala kuanguka

mchungaji felisiana christopher mwingira

08/01/2023

Mchungaji felisiana christopher mingira

Efeso 3:20. "Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo kwa kadri ya ngu...
08/01/2023

Efeso 3:20. "Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo kwa kadri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu""""
1.Mungu ameruhusu nguvu yake ambayo itakusaidia katika mwaka huu wa sifa .
- Na hii nguvu ndiyo itakayokusababisha wewe katika maisha yako yawe mepesi, yaani hautafanya kitu alafu uone mbona kila ninachokifanya kina uzito .
- Tunapokuwa kwenye uwepo wa mungu tunapokea udhihirisho wa kipekee.Na huo tunapopokea ule udhihirisho wa kiungu ndipo tunasema kwamba tumekutana na nguvu ya mungu,na ile nguvu ya mungu ndiyo itakayokuchukua wewe kwenye mwaka huu wa sifa na kukupeleka mahali ambapo pana utukufu
Zaburi 91:1-2""Aketie mahari pa siri pake aliye juu, atakaa katika uvuri wake mwenyezi,Nitasema BWANA ndiye kimbiluo langu na na ngome yangu,mungu wangu nitakayemtumaini""
Mungu ameketi mahali pa juu palipoinuka na nguvu zake ndiozitakazotufikisha mbele zake.
-Kwakuwa aibu yetu inakwenda kuviringishwa ni lazima niende mbele zake kwa ujasiri ni kiwa na imani
Na ili upokee nguvu na udhihirisho wake ni lazima utunze utakatifu wala usiruhusu dhambi iwayo yoyote ile

Address

Kiluvya Gogoni
Dar Es Salaam
2001@

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha church kiluvya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share