FPCT Yombo Dovya

FPCT Yombo Dovya RATIBA ZETU:
J'tano:Saa 10:00-12:00 Jioni
Ijumaa: Saa 10:00-12 Jioni
J'pili: Saa 4 Asb.- 6:30 Mchana

Amani ya Yesu kristo  iwe kwenu nyoteTumekua na ibada njema hapa kanisani FPCT YOMBO DOVYA
12/07/2026

Amani ya Yesu kristo iwe kwenu nyote
Tumekua na ibada njema hapa kanisani FPCT YOMBO DOVYA

Hitimisho la wiki ya vijana FPCT YOMBO DOVYA hongereni vijana woote pia tulibarikiwa na wageni tunawapenda karibun tena ...
28/06/2026

Hitimisho la wiki ya vijana FPCT YOMBO DOVYA hongereni vijana woote pia tulibarikiwa na wageni tunawapenda karibun tena na tena

14/06/2026
14/06/2026

Mtumishi wa Mungu Sedekia fedrick akimtukuza Mungu kanisan kwetu tumebarikiwa na huduma yako Mungu akuinuee

MATUKIO YA IBADA         Ibada ya leo tar 14/6/2026
14/06/2026

MATUKIO YA IBADA
Ibada ya leo tar 14/6/2026

07/06/2026

Praise team FPCT dovya ni fireeee

Hakika Mungu yupo hapa FPCT DOVYA  ibada ilikua ya baraka sana karbuni wapendwa tunapatikana Yombo dovya
07/06/2026

Hakika Mungu yupo hapa FPCT DOVYA ibada ilikua ya baraka sana karbuni wapendwa tunapatikana Yombo dovya

Matukio ya ibada  jpil ya tar 31/05/2026Mungu alihudumia watu wake.GOD IS ABLE
01/06/2026

Matukio ya ibada jpil ya tar 31/05/2026
Mungu alihudumia watu wake.GOD IS ABLE

Address

Yombo Dovya
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Yombo Dovya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category