12/06/2026
Familia ya Munthali (Dada Monica , Dora) wa Tawi la Chang'ombe inatangaza kifo Cha Binti yao mpendwa Magreth Munthali kilichotokea wiki hii.
Mazishi yatafanyika Kesho Jumamosi na kutanguliwa na Ibada ambayo itaendeshwa na Tawi la Chang'ombe.
Tunaomba tujumuike Kwa pamoja kumuaga ndugu yetu Magreth na kuwa sehemu ya faraja Kwa familia.
Ibada itaanza saa 7 mchana, nyumbani Changombe maduka mawili.
Karibu sana